Ukurr Yattani awaonya viongozi wa nje kuingilia siasa za Marsabit
NA Nyabande Orwa Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Marsabit, Ukur Yattani, ametoa wito kwa viongozi…
Mahakama ya Marsabit yaadhimisha siku ya mazungumzo na raia
NA Samuel Kosgei Afisa wa masuala ya watoto katika Kaunti ya Marsabit, Leakey Mukanzi, ametoa…
Mlinzi akamatwa kufuatia uporaji wa duka moja mjini Marsabit
Mlinzi mmoja amekamatwa na kushtakiwa katika mahakama ya Marsabit kuhusiana na kisa ambapo wezi wasiojulikana…
Mwanaume ashtakiwa kwa tuhuma za kumnajisi msichana wa miaka 15, Marsabit Central
Mwanaume mmoja amekamatwa na kushtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa tuhuma za kumnajisi msichana wa…
Viongozi Marsabit wadai hatua dhidi ya kutoweka kwa vijana.
NA Nyabande Orwa Viongozi wa kaunti ya Marsabit wametoa wito kwa Rais William Ruto kuingilia…
NCIC yahamasisha amani Marsabit kupinga matamshi ya chuki.
NA Nyabande Orwa Tume ya uwiano na utangamano nchini (NCIC) imeanza mchakato wa kuhamasisha washikadau…
Watu 158,000 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula na maji, Marsabit
NA JB Nateleng Takriban watu 158,000 katika kaunti ya Marsabit wanahitaji msaada wa dharura wa…
Wanafunzi 4,000 hajaripoti shuleni kutokana na athari za kiangazi, Marsabit
NA JB Nateleng Wanafunzi 4,000 wamefeli kuripoti shuleni kutokana na athari za kiangazi katika kaunti…
Kijusi chapatikana kimetupwa ndani ya kisima katika lokesheni ya Saru
NA Caroline Waforo Mwili wa Kijusi umepatikana ukiwa umetupwa ndani ya kisima katika lokesheni ya…
Idara ya maji Marsabit yasema inashughulikia malalamishi ya wakaazi wa Bori
NA Caroline Waforo Baada ya wakaazi wa eneo la Bori eneobunge la Moyale kaunti ya…
Hakimu wa Marsabit aonywa wananchi dhidi ya kutoa hongo ili kusaidiwa kupata bondi.
NA Samuel Kosgei HAKIMU mkuu wa mahakama ya Marsabit Christine Wekesa ametahadharisha wananchi wanaosaka haki…
Seneta wa Marsabit Mohammed Chute ataka uchunguzi wa haraka kufuatia mauaji ya Liban Charfi
NA JB Nateleng Seneta wa kaunti ya Marsabit Mohamed Chute ameitaka Wizari ya Usalama wa…