Wataalam wa elimu Marsabit waunga mkono wito wa rais kufadhili elimu ya juu.
Na Sabalua Moses
Siku chache baada ya rais William Ruto kutoa mapendekezo ya serikali kushughulikia ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu. Wataalam wa elimu katika kaunti ya Marsabit wamesema kuwa ikiwa mapendekezo hayo yatapitishwa na bunge masomo ya elimu ya juu yataboreka .
Kulingana na Profesa Chris Galgalo na mtaaalam wa elimu mapendekezo hayo yatasaidia kuboresha mfumo wa zamani ambao ulikuwa na changamoto chungu nzima.
Kwa upande wake Bedwin Kirimi ambaye ni mtaalam wa masomo katika chuo cha Tendo valley Marsabit amesema kuwa nafasi na mianya katika sekta ya elimu inafaa kujazwa na mfumo wa sasa elimu ya juu kuboreshwa .



Post Comment