Bunge la kaunti ya Marsabit yalenga kuendeleza hatua ya kuondoa ardhi ya Karare kwenye hifadhi ya wanyama.
January 14, 2025
http://https://www.youtube.com/watch?v=wFV2KoE1GSw The late Bishop Ravasi was led to rest on 6th November 2020. He was the Emeritus Bishop of Marsabit Diocese. This Video was produced by Radio Jangwani / Baragumu ya Faraja.
Na Samuel Kosgei Mwakilishi wadi wa Karare Joseph Leruk amesema kuwa kamati ya bunge la kaunti linalenga kujadiliana na ofisi ya gavana namna ya kuwasilisha katika bunge la kitaifa mswada kuhusu kuondolewa kwa ardhi ya Karare kutoka kwa hifadhi ya mbuga ya wanyama, mswada uliopitishwa na bunge la Marsabit mwaka[Read More…]
Na Caroline Waforo, Ugonjwa wa kichaa cha umbwa umerokodiwa katika eneo la Forole eneo bunge la Northhorr kaunti ya Marsabit. Haya ni kulingana na Afisa wa kufuatilia magonjwa ya mifugo jimboni Marsabit Dkt Bernard Chege. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani daktari Chege amesema kuwa ugonjwa huo wa kichaa cha mbwa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Mkurugenzi wa tume ya kuwaajiri walimu TSC tawi la Marsabit Ali Hussein Abdi amepuzilia mbali madai ya kuhusika katika kuhamisha aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Maikona Girls hadi katika shule ya upili ya Sasura Girls. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani ofisini mwake Hussein[Read More…]
Na Carol Waforo Serikali ya kaunti ya Marsabit imekana madai ya unyakuzi wa ardhi inayokaliwa na migodi ya hillo iliyoko katika lokesheni ya Dabel eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit pamoja na madai ya kutenga jamii ya Sakuye katika mazungumzo ya kufunguliwa kwa migodi hiyo. Akizungumza na wanabari siku[Read More…]
Na Samuel Kosgei Chama cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri (KUPPET) kimekariri haja ya serikali kuharakisha kutuma mgao wa pesa za kufadhili huduma za masomo. Katibu wa chama hicho cha KUPPET tawi la Marsabit Sarr Galgalo amesema kuwa walimu wakuu tayari wameanza kuwatuma[Read More…]
Idadi ya wanafunzi walioripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula wa kwanza wa mwaka wa 2025 katika kaunti ya Marsabit haridhishi kamwe. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza na meza ya habari ya Radio Jangwani ofisini mwake, Magiri ametaja kwamba hadi[Read More…]
Wazazi wa wanafunzi 131 wa shule ya upili ya Goro Rukesa watakiwa kuwa na subira, uchunguzi unapoendelea. Wazazi wa wanafunzi 131 wa shule ya upili ya Goro Rukesa iliyoko eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit, ambao matokeo ya mitihani yao ya KCSE imeshikiliwa na baraza la mitihani nchini KNEC[Read More…]
WANAFUNZI 19 kati ya 20 kutoka shule ya upili ya Ngurnit iliyo eneobunge la Laisamis watajiunga na vyuo vikuu kutokana na wao kujizolea alama ya C+ kwenda juu. Kulingana na matokeo ya shule hiyo ni kuwa wanafunzi 8 walipata alama ya B (plain), sita walipata B-, watano wakipata C+ na[Read More…]
Wakaazi wa eneo la Karare,eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit wamenufaika na msaada wa chakula na vifaa vingine vya matumizi kutoka kwa katibu wa maeneo kame na maendeleo ya mikoa nchini Kello Harsama. Msaada huo unajumuisha vyakula, blanketi pamoja na taulo za kutumiwa na wanawake na wasichana wakati wa[Read More…]
Viongozi wa vijana viungani mwa mji wa Laisamis kaunti ya Marsabit wameonya wazee walio na hulka ya kuuza ardhi ya familia ovyo ovyo kwa bei ya kutupa. Vijana hao kutoka eneo la Manyatta Secondary wakiongozwa na kiongozi wao Mwl. Lito Herkena ameambia shajara kuwa kuna baadhi ya wazee katika eneo[Read More…]