Local Bulletins

regional updates and news

Oparasheni ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliomaliza darasa la 8 wanajiunga na shule za upili imeingia siku yake ya tatu hii leo.

By Waihenya Isaac, Oparasheni ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliomaliza darasa la 8 wanajiunga na shule za upili imeingia siku yake ya tatu hii leo. Operesheni hiyo iliyoanzishwa siku ya jumatatu na waziri wa elimu Profesa George Magoha analenga kuhakikisha asilimia mia ya wanafunzi wanaojiunga na shule za sekondari. Hii[Read More…]

Read More

Serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao. – Waziri Matiangi.

By Waihenya Isaac, Waziri wa usalama Daktari fred Matiangi ameleza kuwa serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao na pia hali shwari ya kuipokeza mammlaka serekali mpya. Akizungumza na waandishi wa habari, waziri Matiangi ameleza kuwa asasi za usalamua ziki imara kuhakikisha ya kwamba uslama umeimarishw[Read More…]

Read More

Wakaazi mjini Marsabit waandamana kulalamikia ukosefu wa maji.

By Waihenya Isaac, Wakaazi mjini Marsabit wameandaa maandamano ya Amani kulalamikia ukosefu wa maji kwa muda wa wiki mbili sasa. Wakaazi hao waliojawa na ghadhabu waliandamana hadi katika afisi ya idara ya maji mjini kuwasilisha malalamishi yao. Wametaja kuwa imekuwa vigumu kwao kuendelea na maisha yao ya kawaida baada ya[Read More…]

Read More

Inter Faith Marsabit yakashifu vikali mauaji yanayoshuhudiwa hapa jimboni.

By Silvio Nagori, Baraza la madhehebu mbali mbali tawi la Marsabit limekashifu vikali mauaji yanaendelea kushuhudiwa hapa jimboni. Wakizungumza na waandishi wa habari hapa mjini Marsabit viongozi hao wamewataka wananchi kutolipiza kisasi jambo ambalo wamesema  kuwa linachangia katika vurugu za mara kwa mara. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Askofu wa jimbo[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter