Editorial

WEZI WA MIFUGO KUTOKA KAUNTI JIRANI ZINAZOPAKANA NA KAUNTI YA MARSABIT WAONYWA VIKALI DHIDI YA KUTEKELEZA MASHAMBULIZI JIMBONI MARSABIT.

Wahalifu wa wizi wa mifugo kutoka kaunti jirani zinazopakana na kaunti ya Marsabit wameonywa vikali dhidi ya kutekeleza mashambulizi hapa jimboni Marsabit. Ni onyo ambalo limetolewa na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau. Onyo hili linajiri kufuatia jaribio la wizi wa mifugo wiki jana katika eneo la Ell Nedeni[Read More…]

Read More

WANANCHI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUASI KASUMBA YA KUKATA MITI ILI KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mazingira hii leo wananchi kaunti ya Marsabit wametakiwa kuasi kasumba ya kukata miti ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza kwenye warsha ya kusherehekea siku ya Mazingira hapa Marsabit mkurugenzi wa Mazingira katika jimbo la Marsabit Janet Ahatho amewataka wakazi wa Marsabit kuishabikia zoezi[Read More…]

Read More

WITO WATOLEWA KWA WAZAZI KUWAPELEKA WANAWAO HOSPITALINI IWAPO WATARIPOTI VISA VYOVYOTE VYA KUUMWA NA MACHO.

Wito umetolewa kwa wazazi kuwapeleka wanawao hospitalini iwapo wataripoti visa vyovyote vya kuumwa na macho. Haya yamekaririwa na mtaalam wa macho katika kliniki ya Macho, katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Amina Duba. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake, Amina amesema kuwa kuna magonjwa ya macho ambayo yanaweza yakatibika iwapo[Read More…]

Read More

HIFADHI YA MELAKO IMETAJA KWAMBA KAMWE HAIMUJUI JAMAA ALIYEUWAWA AKIWA AMEVALIA JAKETI YA ZAMANI YA HIFADHI HIYO MNAMO SIKU YA IJUMAA WIKI ILIYOPITA KATIKA ENEO LA BADASA ENEO BUNGE LA SAKU KAUNTI YA MARSABIT.

 Hifadhi ya Melako imetaja kwamba kamwe haimujui jamaa aliyeuwawa akiwa amevalia jaketi ya zamani ya hifadhi hiyo mnamo siku ya ijumaa wiki iliyopita katika eneo la Badasa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia simu Meneja wa hifadhi ya Melako Satim Eydimole ni kuwa[Read More…]

Read More

SIKU MOJA BAADA YA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA KUMUOMBA MSAMAHA RAIS WILIAM RUTO KUHUSIANA NA IWAPO AMEKOSEA, WAKAAZI WA MARSABIT WAMETOA MAONI YAO KUHUSIANA NA HATUA HIYO.

Siku moja tu baada ya naibu wa Rais Rigathi Gachagua kumuomba msamaha Rais Wiliam Ruto kuhusiana na iwapo amekosea na kupelekea mswaada wa kutaka abanduliwe mamlakani kufikishwa bungeni, baadhi ya wakaazi wa Marsabit wametoa maoni yao kuhusiana na hatua hiyo. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kuwa[Read More…]

Read More

POLISI MJINI MARSABIT WANAMZUILIA MWANAMME MMOJA MWENYE UMRI WA MIAKA 37 AMBAYE ALIYEKAMATWA JANA JIONI KWA MAKOSA YA KUIBA SHILINGI ELFU 69 KATIKA DUKA LA MPESA MJINI MARSABIT.

Polisi mjini Marsabit wanamzuilia mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 37 ambaye aliyekamatwa jana jioni kwa makosa ya wizi katika duka la MPesa mjini Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga ametaja kwamba mhalifu kwa jina Musei Ndemwa alitiwa mbaroni jana jioni katika eneo la Frontline karibu[Read More…]

Read More

WAKENYA WATAKIWA KUKATAA KUGAWANYWA KWA MISINGI YA KIKABILA…

Wakenya wametakiwa kukataa kugombanishwa viongozi wa kisiasa na badala yake wasimame kidete kama wazalendo. Kwa mujibu wa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Nyeri Askofu Antony Muheria kwenye ujumbe wake jana ni kuwa baadhi ya viongozi wanaeneza chuki baina ya jamii jambo linalohataisha uiano wa nchi. Akizungumza katika ibada ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter