WANACHAMA WA RANGELANDS SACCO WAPOKEA DIVIDENDS YA SHILLINGI MILLIONI SITA
February 20, 2025
http://https://www.youtube.com/watch?v=wFV2KoE1GSw The late Bishop Ravasi was led to rest on 6th November 2020. He was the Emeritus Bishop of Marsabit Diocese. This Video was produced by Radio Jangwani / Baragumu ya Faraja.
NA CAROLINE WAFORO Wanachama wa chama cha akiba na mikopo cha Rangelands Sacco chini ya shirika lisilo la kiserikali la NRT wamepata faida ukipenda dividends ya shilingi milioni 6 baada ya kuwekeza katika chama hicho. Mwanachama aliyepata dividends za juu zaidi akipata zaidi ya shilingi 200,000. Haya yalibainika Jumanne wakati wa mkutano[Read More…]
Msimamizi mkuu kwenye mbuga ya wanyama katika kaunti ya marsabit Augustine Ajuoga amesema kuwa shughuli ya kuwahesabu wanyama pori unaendelea na shughuli hiyo imekua ikifanyika tangu mwaka jana Vile vile amesema kuwa shughuli hiyo itaaanza mwezi ujao katika kaunti ya marsabit,Mandera na wajir kwa minajili ya kujua hali ya wanyama[Read More…]
Na Samuel Kosgei MWAKILISHI wa wanawake kaunti ya Marsabit Naomi Jillo Waqo ameelezea haja ya kuimarisha hazina ya pesa za kusawazisha maendeleo (equalization fund) katika kaunti za maeneo kame na zilizobaki nyuma. Naomi akiunga mkono mjadala wa mswada huo bungeni amesema kuwa kuna haja ya kaunti zilizosalia nyuma kupewa pesa hizo ya[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wananchi wanaoishi katika lokesheni ya Mountain wadi ya Marsabit Central eneobunge la Saku wameonesha masikitiko yao kutokana na kutopewa stakabadhi ya kumiliki ardhi (tittle deeds) mwezi wa tisa mwaka jana kama walivyokuwa wameahidiwa na viongozi wao wakiongozwa na MCA wa eneo hilo. Wakazi hao wakiongozwa na mwanaharakati wa[Read More…]
Waziri wa afya katika kaunti ya Marsabit Malicha Boru amekariri kujitolea kwa idara hiyo kukabiliana na ugonjwa wa Kalazaar hapa jimboni. Akizungumza na Shajara na Radio Jangwani kwa njia ya simu,waziri Malicha amesema kwamba idara hiyo inaweka mikakati ya kunyunyizia dawa maeneo ambayo wadudu wanaoeneza ugonjwa huo wapo. Japo ameahidi[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuasi mila potovu na zilizopitwa na muda na badala yake kuangazia mila zinazofaa. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa baraza la makanisa mbalimbali nchini NCCK, tawi la Marsabit mchungaji Saido Diba, ni kuwa ni jambo la kuhuzunisha mno kuona kwamba bado kuna[Read More…]
Gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamed Ali amesema kuwa kaunti ya Marsabit inazidi kupiga hatua kimaendeleo. Akizungumza alipozindua manispaa ya Moyale, Gavana Ali amesema kuwa serikali yake inazidi kuwekeza zaidi katika masuala ya maendeleo jimboni huku akitaja hatua ya kufanya Moyale kuwa manispaa kuwa ni mfano tosha kuwa serekali inajali[Read More…]
Msimazi mkuu kwenye mbuga ya wanyama Marsabit national park Augustine Ajuoga amesema k.w.s katika kaunti ya Marsabit wanajiandaa vyema kwa siku ya kusherekea wanyama pori itakayofanyika mechi 3 mwezi ujao huku akihamasisha jamii kujua umuhimu wa kulinda wanyamapori pamoja na mazingira kwa manufaa yao. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani[Read More…]
Maafisa kutoka maendelo ya mradi wa Konza mamlaka ya kitaifa ya uchumi wa teknolojia kwa shirikiano na wizara ya mawasiliano na wizara ya maswala ya ndani leo imezindua ujenzi wa kituo cha mafunzo ya kiteknolojia katika eneo la shauri yako katika wadi ya Marsabit central. Hafla hiyo imehudhuriwa na naibu[Read More…]
Na Henry Khoyan Siku chache baada ya kinara wa ODM Raila Odinga kupoteza kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), baadhi ya wakaazi wa Jimboni wametoa hisia zao kuhusiana na hatua za kisiasa ambazo waziri mkuu huyo wa zamani anafaa kuchukua. Wakaazi hao[Read More…]