WAZAZI MARSABIT WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WALIO NA ULEMAVU WA KUPOOZA KWA UBONGO MAARUFU CELEBRAL PALSY.
November 4, 2024
Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wamesifia matumizi ya mitandao katika jamii kwa kusema kuwa inasaidia kuwaunganisha na wapendwa wao na kuwajuza yanayojiri katika maeneo tofauti duniani.
Baadhi ya waliozungumza na Shajara Ya Radio Jangwani, wamesema kuwa mtandao unasaidia pakuwa katika kuelimisha jamii na kuwataatharisha kuhusiana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na mienendo ambayo inapotosha vijana.
Haya yanajari wakati ambapo ulimwengu unasherehekea wiki ya mtandao ambayo inatambua uwepo wa kusoma na kuandika taarifa za habari mitandaoni.
Hata hivyo baadhi yao wameelezea athari zinazotokana na matumizi ya mitandao ambayo imefanya jamii kubadilika na hata kusahau mila na tamaduni zao jambo ambalo wamesema kuwa linafaa kuangaziwa.
Wamewataka wazazi kudhibiti matumizi ya mtandao kwa watoto haswa wakati huu wa likizo ili kuwapa muda wa kutosha wa kusoma.