Sport Bulletins

sport bulletins

Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Ulaya UEFA Champions League Awamu Ya 16 Bora Kurejelewa Usiku Wa Leo

By Waihenya Isaac, Michuano ya kuwania kombe la Klabu Bingwa barani ulaya   UEFA Champions league awamu ya 16 Bora inarejelewa  leo usiku huku mechi mbili zikiratibiwa kugaragazwa. Bingwa wa mwaka wa 2019/2020 Liverpool atamenyana na RB Leipzig ya ujerumani jijini Budapest Nchini Hungary itimiapo saa tato usiku. Mechi imelamika kuchezewa[Read More…]

Read More

Ulinzi Star na Western Stima Wakabana Koo Huku Mathare United ikipata ushindi Mwembamba dhidi ya Nzoia Sugar

By Waihenya  Isaac, Klabu ya  Ulinzi Stars imetoka sare  ya magoli mawili na  klabu ya Western Stima Katika mechi iliyosakatwa hii leo Katika uwanja wa michezo wa Afuraha  mjini Nakuru. Wanajeshi Ulinzi stars walikuwa wa kwanza kucheka na wavu kupitia mchezaji mkongwe Oscar Musa Wamalwa kunako dakika ya 14 katika[Read More…]

Read More

Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Kuendelea Usiku Wa Leo.

By Waihenya Isaac, Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Inatarajiwa Kuendelea Usiku Wa Leo Huku Mechi Tano Zikiratibiwa Kugaragazwa. Saa Tatu Usiku Burnley Ya Kocha Sean Dyche Itasaka Kuendeleza Matokeo Bora Mwaka Huu,Baada Ya Kushinda Mechi Mbili Za Mwisho Walizocheza,Itakapoikaribisha AstonVilla  Ugani Tuff Moor. Aidha Chelsea Itaialika[Read More…]

Read More

Klabu Ya Watford Imemsajili Kiungo Wa Kenya Henry Ochieng.

  By Waihenya Isaac, Klabu Ya Watford Nchini Uingereza Imemsajili Kiungo Wa Kenya Henry Ochieng. Kupitia Mtandao Wa Twitter Watford Imedhibitisha Kumsajili Mchezaji Huyo Atakayejiunga Na Kikosi Cha Wachezaji Wasiozidi Umri Wa Miaka 23. http://https://twitter.com/WatfordFC/status/1353725259317436418?s=19 Ochieng mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akisoma katika vyuo vikuu vya West Ham na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter