Taylor Swift Unveils New Secret Double Album.
April 19, 2024
sport bulletins
By Waihenya Isaac, Klabu ya Gor Mahia imetua mjini Lusaka Zambia, huku kikosi hicho kikitarajiwa kufanya mazozezi mepesi kabala ya mechi ya marudio kati yao na NAPSA All Stars ya Zambia Katika mchuano wa kufuzu kwa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la soka barani Afrika CAF Confederation Cup.[Read More…]
By Waihenya Isaac, Michuano ya kuwania kombe la Klabu Bingwa barani ulaya UEFA Champions league awamu ya 16 Bora inarejelewa leo usiku huku mechi mbili zikiratibiwa kugaragazwa. Bingwa wa mwaka wa 2019/2020 Liverpool atamenyana na RB Leipzig ya ujerumani jijini Budapest Nchini Hungary itimiapo saa tato usiku. Mechi imelamika kuchezewa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Draw Ya Kombe la FA awamu ya Robo Fainali yatolewa huku mechi hizo zikiratibiwa kupigwa tarehe 20 na 21 mwezi machi mwaka huu. Bingwa wa Kombe hilo mwaka wa 2019 Manchester City watasafiri hadi ugani Goodson Park kumenyana na Everton katika kampeni ya kusaka taji lao la[Read More…]
By Waihenya Isaac, Klabu ya Ulinzi Stars imetoka sare ya magoli mawili na klabu ya Western Stima Katika mechi iliyosakatwa hii leo Katika uwanja wa michezo wa Afuraha mjini Nakuru. Wanajeshi Ulinzi stars walikuwa wa kwanza kucheka na wavu kupitia mchezaji mkongwe Oscar Musa Wamalwa kunako dakika ya 14 katika[Read More…]
By Waihenya Isaac, Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Inatarajiwa Kuendelea Usiku Wa Leo Huku Mechi Tano Zikiratibiwa Kugaragazwa. Saa Tatu Usiku Burnley Ya Kocha Sean Dyche Itasaka Kuendeleza Matokeo Bora Mwaka Huu,Baada Ya Kushinda Mechi Mbili Za Mwisho Walizocheza,Itakapoikaribisha AstonVilla Ugani Tuff Moor. Aidha Chelsea Itaialika[Read More…]
By Waihenya Isaac, Klabu Ya Watford Nchini Uingereza Imemsajili Kiungo Wa Kenya Henry Ochieng. Kupitia Mtandao Wa Twitter Watford Imedhibitisha Kumsajili Mchezaji Huyo Atakayejiunga Na Kikosi Cha Wachezaji Wasiozidi Umri Wa Miaka 23. http://https://twitter.com/WatfordFC/status/1353725259317436418?s=19 Ochieng mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akisoma katika vyuo vikuu vya West Ham na[Read More…]
By Waihenya Isaac, Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Inatarajiwa Kuendelea Usiku Wa Leo Huku Mechi Mbili Zikiratibiwa Kugaragazwa. WestHam United Ya Kocha David Moyes Itasaka Kuzidisha Shinikizo Katika Kumaliza Nne Bora Msimu Huu Baada Ya Kushinda Mechi Tatu Za Mwisho Walizocheza, Itakapomenyana Na WestBromich Albion Ugani[Read More…]
By Waihenya Isaac. Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Inatarajiwa Kuendelea Usiku Wa Leo Huku Mechi Tatu Zikiratibiwa Kugaragazwa. Sheffield United Ya Kocha Chris Wilder Itasaka Ushindi Wake Wa Kwanza Msimu Huu Baada Ya Kupoteza Mechi Kumi Na Tano Kati Ya Kumi Na Saba Walizocheza Msimu Huu,[Read More…]
By Waihenya Isaac. Klabu Ya Gor Mahia Imebanduliwa Nje Ya Ya Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Afrika CAF Champions League Na Klabu Ya CR Belouizdad Ya Algeria Kwa Jumla Ya Magoli Manane Kwa Moja. Hii Ni Baada Ya Gor Mahia Kulazwa Jumla Ya Mogoli Mawili Kwa Nunge[Read More…]
By Waihenya Isaac. Kocha Wa Klabu Ya Tottenham Hotspurs Jose Mourinho Ametaja Kuwa Yupo Tayari Kulinyakua Taji La EFL Maarufu Kama Carabao Cup Msimu Huu. Mourinho Ameyataja Hayo Wakti Kikosi Chake Kinatarajiwa Kumenyana Na Brentford Hii Leo Usiku Katika Mechi Ya Nusu Faini Ya Kombe La Carabao. Mechi Hiyo Itangaragaziwa[Read More…]