Sport Bulletins

sport bulletins

Michuanao Ya Kuwania Kombe La EPL Kuendelea Hii Leo Huku Michuano Mitatu Ikiratibiwa Kugaragazwa.

By Waihenya Isaac. Michuanao Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza EPL Inaendelea Hii Leo Huku Michuano Mitatu Ikiratibiwa Kugaragazwa. Crystal Palace Nyumbani Selhurst Park Atakuwa Mwenyeji Wa Leicester City, Katika Mechi Ambayo Palace Anatarajiwa Kuimarisha Matokeo Yake Baada Ya Kulazwa Magoli Matatu Kwa Nunge Na Aston Villa Weekendi[Read More…]

Read More

Kocha Arsene Wenger Kurejea Uwanjani Emirates.

Kocha Arsene Wenger Akiwa Ugani Emirates. Picha Hisani By Waihenya Isaac. Afisa Mkuu Mtendaji  Wa  Klabu Ya Arsenali Vinai Venkatesham Ameripotiwa Kuwasiliana Na Arsene Wenger Juu Ya Uwezekano Wa Kurudi Uwanjani Emirates. Wenger Aliiongoza Arsenal Kutwaa Mataji Matatu Ya Ligi Kuu Na Vile Vile Kombe La FA Kabla Ya Kuondoka[Read More…]

Read More

Gor Mahia Kumenya Na  CR Belouizdad Ya Algeria  Katika Awamu  Ya Finali Ya Kufuzu Katika Awamu Ya Makundi Ya Michuano Ya Klabu Bingwa Barani Afrika CAF

Picha; Hisani By Waihenya Isaac Klabu Ya Gor Mahia Itamenya Na Klabu Ya CR Belouizdad Ya Algeria  Katika Awamu  Ya Finali Ya Kufuzu Katika Awamu Ya Makundi Ya Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Afrika CAF Champions League. Gor Itasafiri Hadi Jijini Algiers Kumenyatana Na Vijana Wa Frank[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter