Sport Bulletins

Mkufunzi Wa Klabu Ya Real Madrid Zinedine Zidane Apuzilia Mbali Madai Ya Kutaka Ajiuzulu.

Picha:Hisani

Na Waihenya Isaac

Mkufunzi Wa Klabu  Ya Real Madrid Zinedine Zidane Amesema Kamwe Hagangatuki Klabuni Licha Ya Shinikizo Kumtaka Aondoke Baada Ya Klabu Hiyo Ya Laliga Kuadikisha Matokea Mabovu Siku Za Hivi Karibuni.

Zidane Alijipata Pakavu Baada Ya Klabu Ya Real Madrid Kupoteza Jumla Ya 2–0 Dhidi Ya Shahktar Donesk Ya Ukraine Katika Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bigwa Barani Ulaya.

Kibarua Cha Kocha Huyo Kitakuwa Kwenye Mizani Iwapo Atapoteza  Mechi Ya Weekendi Hii Dhidi Ya Sevilla Na Weekendi Ijao Dhidi Ya Atletico Madridi Katika Michuano Ya Kuwania Ligi Kuu Nchini Uhispiania.

Pia Inataziwa Kuwa Iwapo Ataiwezesha Klabu Hiyo Kufuzu Katika Awamu Ya 16 Bora Katika Michuano Ya Kuwania Kombe La Klabu Bingwa Barani Ulaya UEFA.

Picha:Hisani

Kwa Sasa Real Madrid Wanashikila Nafasi  Ya 4 Katika Ligi Kuu Nchini Uhispania Wakiwa Na Alama 17 Baada Ya Mechi  10, Alama 7 Nyuma Ya Viongozi Real Socieadad Huku Wakishikilia Nafasi Ya  3 Katika Jedwali La Kundi B Na Alama 7 Kwenye Michuano Ya UEFA Huku Wakiwa Wamesalia Na Mechi Moja Katika Awamu Ya Makundi.

Subscribe to eNewsletter