County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

WAKAAZI WA LEYAI SAKU, MARSABIT WALALAMIKIA ZAHANATI ILIYOJENGWA MIAKA 9 ILIYOPITA ILA HAITUMIKI.

Na Mwandishi Wetu WAKAAZI wa Leyai, wadi ya Karare kaunti ya Marsabit wameonesha masikitiko makubwa kutokana na kukosa huduma za hospitali karibu nao. Wakaazi hao wa Leyai wamekosoa pakubwa serikali ya Marsabit kupitia idara ya afya kutokana na kusahaulika na kupuuzwa kwa  zahanati ya Leyai iliyojengwa mwaka wa 2016. Wananchi[Read More…]

Read More

KAMISHNA JAMES KAMAU ASIFIA SHULE ZINAZOFADHILIWA NA KUMILIKIWA NA KANISA KATOLIKI, MARSABIT.

Na JB Nateleng, Kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau amesifia shule zinazofadhiliwa na kumilikiwa na kanisa Katoliki akisema kuwa zinakuza nidhamu na maadili mema. Kamau aliyekuwa akiazungumza wakati wa sherehe za kuadhimisha siku ya elimu hapa jimboni, iliyoandaliwa katika ukumbi wa kanisa Katoliki, ameelezea kwamba, shule hizi ambazo zilianzishwa[Read More…]

Read More

Mali ya dhamani isiyojulikana yateketea baada ya lori lililokuwa likisafirisha bidhaa za duka kuchomeka katika eneo la Log Logo kaunti ya Marsabit.

Na Isaac Waihenya, Mali ya dhamani isiyojulikana imeteketea baada ya lori lililokuwa likisafirisha bidhaa za duka kuteketea moto katika eneo la Lderedei kilomita 6 kutoka eneo la kibiashara la Log Logo kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa chifu wa eneo la Log Logo Henry Korole ni kuwa lori hilo lilikuwa[Read More…]

Read More

Mashirika ya wachimba Dhahabu eneo la Hillo Moyale wafanya uchaguzi wa viongozi wa muungano mpya.

Na Samuel Kosgei ZAIDI ya vyama vya ushirika 40 kutoka Moyale kaunti hii ya Marsabit yameshirikiana kuunda muungano mmoja mkubwa ili kushughukulia maslahi yao katika harakati za kuchimba migodi eneo la Hillo. Kulingana na mwenyekiti mpya wa muungano huo wa wachimba migodi Moyale Rashid Karayu ni kuwa kuanzishwa kwa muungano[Read More…]

Read More

ANGAZIENI PIA “BOY CHILD” -MSHAURI WA RAIS KATIKA MASUALA YA JINSIA, HARRIETTE CHIGGAI AYARAI MASHIRIKA YA KIJAMII.

JB Nateleng, Mshauri wa Rais katika masuala ya jinsia na haki za wanawake, Harriette Chiggai amesema kuwa idadi ya wajane na akinamama wanaowalea wanao pekee yao nchini inazidi kuongozeka kutokana na jamii na mashirika ya serekali kuangazia zaidi wanawake na wasichana huku wakisahau kuhusu haki za mtoto wa kiume. Chiggai[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter