Diocese of Marsabit

IDARA YA ELIMU KATIKA KAUNTI YA MARSABIT YAWEKA MIKAKATI KABAMBE KUZUIA VISA VYA UCHOMAJI WA SHULE KUTOKEA HAPA JIMBONI.

Na Isaac Waihenya, Idara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imeweka mikakati kabambe ili kuzuia visa vya uchomaji wa shule kutokea hapa jimboni. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa idara ya elimu imehakikisha kwamba iko makini ili kuzuia kutokea kwa visa vya[Read More…]

Read More

MWANAMME MMOJA ALIYERIPOTIWA KUPOTEA MIEZI MITATU ILIYOPITA AMEPATIKANA AKIWA AMEIGA DUNIA KATIKA CRATER YA GOFF ARERO ENEO BUNGE LA SAKU,KAUNTI YA MARSABIT

Na JB Nateleng & Naima Abdullahi, Mwanamme mmoja aliyeripotiwa kupotea miezi mitatu iliyopita amepatikana akiwa ameiga dunia katika crater ya Goff Arero eneo bunge la Saku,kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee chifu wa eneo Qiltu Korma Alex Ali Goresa, amesema kuwa mwanamme huyo na ambaye[Read More…]

Read More

GAVANA WA KAUNTI YA MARSABIT MOHAMED ALI ATUZWA KAMA GAVANA MCHAPA KAZI BORA ZAIDI KATIKA ENEO LA UKANDA WA MASHARIKI YA JUU KWENYE TUZO ZA ETA AWARDS MWAKA WA 2024.

Na Isaac Waihenya, Gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamed Ali ametuzwa kama Gavana mchapa kazi bora zaidi katika eneo la ukanda wa mashariki ya juu kwenye tuzo za ETA Awards mwaka wa 2024. Kwenye hafla ya tuzo hizo iliyoandaliwa katika mkahawa wa kifari wa Samara mjini Machakos, pia Gavana Ali[Read More…]

Read More

ZAIDI YA WATU 20 WAADHIRIKA NA UGONJWA WA UPELE MAARUFU SCABIES KATIKA KIJIJI CHA BURURI,MOYALE KAUNTI YA MARSABIT.

Na Isaac Waihenya, Wakaazi katika kijiji cha Bururi eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit wameitaka idara ya afya hapa jimboni kutuma msaada wa kimatibabu katika eneo hilo ili kushughulikia ugonjwa unaokisiwa kuwa ni Upele maarufu Scabies. Wakizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya simu wakaazi hao wametaja kwamba tayari[Read More…]

Read More

Pokonya Wananchi Wote Silaha Haramu – Askofu Dominic Kimengich Atoa Wito Kwa Serekali.

Na Isaac Waihenya, Serekali imetakiwa kutwa silaha haramu zinazomilikiwa na wenyeji katika eneo la Keiyo Valley linalokumbwa na changamoto ya wizi wa mifugo ili Amani idumu katika sehemu hiyo. Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa katoliki katika dayosisi ya Eldoret Dominic Kimengich. Akizungunza na vyombo vya habari Askofu Kimengich[Read More…]

Read More

Askofu Peter Kihara Apiga Marufuku Mikutano Yote ya Kisiasa Katika Uwanja na Ukumbi wa Kanisa Katoliki Mjini Marsabit

  Na Samuel Kosgei Askofu wa kanisa katoliki jimbo la Marsabit Peter Kihara amepiga marufuku mikutano yote ya kisiasa kufanyika katika uwanja na ukumbi wa kanisa Katoliki mjini Marsabit. Akizungumza alipoongoza misa ya sherehe ya Maria Consolata katika kathidrali ya Marsabit, Askofu Kihara alisema kuwa wema na ukarimu ambao umefanyiwa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter