Rapper Jeezy Files For Divorce From Wife Jeannie Mai
September 19, 2023
Na Silvio Nangori, Wanafunzi 54 wanaotoka katika familia maskini katika kaunti ya Marsabit na Samburu wamepokea ufadhili wa masomo kupitia shirika lisilo la kiserikali Kenya Drylands Education Fund. Akizungumza na shajara ya jangwani Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Ahmed Kura amesema kwamba waliopata ufadhili huo ni wale wasiojiweza katika jamii.[Read More…]
Na Silvio Nangori, Seneta wa kaunti ya Marsabit Muhamud Chute ametoa wito kwa idara ya usalama kuwakamata wanaoshukiwa kuhusika katika wizi wa chakula unaodaiwa kufanyika katika eneo la sololo eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii moja kwa moja Seneta Chute amesema kwamba ni aibu zaidi[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Waliohusika katika katika kisa cha wizi wa chakula cha msaada katika eneo la Sololo jimboni Marsabit lazima wachukuliwe hatua za kisheria. Ndio kauli yake naibu kamishina wa kaunti ndogo ya Sololo Robert Nzuki. Akizungunza na vyombo vya habari Nzuki amesema kwamba tayari uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na ripoti[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Serekali itahakikisha kwamba wanafunzi wote waliofanya mitihani ya kitaifa ya Gredi ya 6 na KCPE mwaka jana wanaendelea na elimu yao. Kwa mujibu wa kaimu kaunti kamishina wa Marsabit George Kamweru ni kuwa ni haki ya kila mwanafunzi aliyefanya mtihani wa gerdi ya sita kujiunga na Junior[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Onyo kali imetolewa kwa wanaopania kuvuruga usalama barabarani haswa katika barabara kuu ya Marsabit kuelekea Isiolo kuwa watakabiliwa kisheria. Kaimu kaunti kamishina wa kaunti ya Marsabit George Kamweru ametoa tahadhari hiyo huku akitaja kwamba ni hatia kisheria kufunga barabara ya umaa au kuendeleza shughuli zote za kihuni[Read More…]
Na Silvio Nangori, Wazee na wasomi oka jamii ya Gabbra katika ya Marsabit wamemshukuru Gavana wa kaunti ya Marsabit kwa kuipa jamii hiyo nafasi katika uteuzi wake wa maafisa wakuu katika serikali yake. Wakizungumza na wanahabari kwa njia ya kipekee wamesema kwamba waliochaguliwa na Gavana ni viongozi ambao watasaidia wananchi[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC imewaajiri walimu 56 katika kaunti ya Marsabit watakaohudumu katika shule 149 za umaa zitakazokuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa TSC tawi la Marsabit Sammy Loitakol ni kuwa walimu hao watasaidiana na wengine[Read More…]
Na Samuel Kosgei, MKURUGENZI wa idara kilimo kaunti ya Marsabit Julius Gitu amesema kuwa suluhu pekee ya kuweza kuzalisha chakula cha kulisha wananchi wa marsabit siku za usoni ni kuweka mikakati ya kuchimba mabwawa makubwa ili kuyateka maji ya mvua. Anasema mara kwa mara maji mengi yamekuwa yakipotea pindi mvua[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Jumla ya shule 196 za umaa na za kibinafsi katika kaunti ya Marsabit zimetajwa kuwa na uwezo kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa idadi hiyo[Read More…]
Na Isaac Waihenya Na Samuel Kosgei, Jesca Anna Napoya kutoka shule ya upili ya Bishop Cavallera Girls ndiye aliyeongoza katika shule hiyo kwa kupata alama ya A- ya alama 74. Wanafunzi 50 kati ya 52 wamefanikiwa kupata alama za kujiunga na chuo kikuu. Mwanafunzi mmoja alipata alama ya A, B+1,[Read More…]