VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WAMEITAKA JAMII KUZINGATIA MAADILI ILI KUEPUSHA VISA VYA MAUAJI VYA WANAWAKE NCHINI
November 5, 2024
Na Silvio Nangori,
Wazee na wasomi oka jamii ya Gabbra katika ya Marsabit wamemshukuru Gavana wa kaunti ya Marsabit kwa kuipa jamii hiyo nafasi katika uteuzi wake wa maafisa wakuu katika serikali yake.
Wakizungumza na wanahabari kwa njia ya kipekee wamesema kwamba waliochaguliwa na Gavana ni viongozi ambao watasaidia wananchi ya Marsabit bila ubaguzi wowote.
Wametoa wito kwa jamii nzima jimboni kuhakisha kwamba wanatoa taarifa zozote ambazo zinaleta uhasama katika kaunti ya Marsabit.
Wataka viongozi kutoka jamii tofauti kukutana na ktafuta suluhu la kudumu na kuwaunganisha jamii panapotokea visa ambavyo vinatenganisha jamii.
Aidha wamewapa kongole wanafunzi wote waliofanya vyema katika mtihani wa kidato cha nne na ambayo imetika hivi maajuzi.
Wamesema kwamba licha ya changamo ya kiangazi ambayo imekumba jimbo nzima wanafunzi hao hawakukata tamaa.