Author: Isaac Waihenya

Uchunguzi waanzishwa kuhuisiana na kifo cha balozi wa Amani kaunti ya Isiolo Bi.Elizabeth Ibrahim.

Na Silvio Nangori, Polisi katika kaunti ya Isiolo wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa ambapo balozi wa amani bi.Elizabeth Ibrahim ameuawa eneo la Kambi Garba kaunti ya Isiolo. Imeripotiwa kwamba Elizabeth Ibrahim alivamiwa na jirani yake ambaye alimdunga kwa kisu mara kadhaa na kufariki papo hapo. Wakaazi wa eneo hilo walikuwa wamejawa[Read More…]

Read More

Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu.

  Na Samwel Kosgei, Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu. Kulingana na ripoti za polisi, watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo walimteketeza John Moji hadi kutotambulika na baadaye kubomoa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kisa hicho,[Read More…]

Read More

Polisi wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia kituo cha polisi cha Lerata kaunti ya Samburu na kumuua afisa wa polisi.

Na Waihenya Isaac, Polisi katika kaunti ya Samburu wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia kituo cha polisi cha Lerata karibu na kituo cha kibiashara cha Archers na kumuua afisa wa polisi mnamo siku ya jumapili. Afisa huyo konstebo Moses Mwambia alipigwa risasi alipokuwa akichota maji. Inaarifiwa kuwa genge hilo lilienda[Read More…]

Read More

Shirika la Human Rights Watch lasema Mahitaji ya Chanjo Yanakiuka Haki za Kenya.

Na Samuel Kosgei, SHIRIKA la haki za kibinadamu la Human Rights Watch imeedelea kushutumu hatua ya serikali ya Kenya kulazimishia wakenya kupokezwa chanjo ili kupokea huduma za kiserikali. Masharti hayo ya kuzuia wakenya kupokea huduma za kiserikali yataanza kutekelezwa tarehe 21 Desemba 2021. Kufikia mwishoni mwa mwezi Disemba takriban asilimia 10 ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter