Author: Isaac Waihenya

Mifugo elfu 300 kaunti ya Marsabit wamekufa kutokana na kiangazi kikali kinachoshuhudiwa kutokana na ukosefu wa mvua.

Na Samuel Kosgei, MRATIBU mkuu wa mamlaka ya kudhibiti athari za ukame NDMA tawi la Marsabit Mustafa Parkolwa amesema zaidi ya mifugo elfu 300 kaunti ya Marsabit wamekufa kutokana na kiangazi kikali kinachoshuhudiwa kutokana na ukosefu wa mvua kutonyesha kwa misimu mitano. Akizungumza na shajara kwenye kikao cha pamoja cha[Read More…]

Read More

Wanafunzi 54 katika kaunti ya Marsabit na Samburu wapokea ufadhili wa masomo kupitia shirika lisilo la kiserikali Kenya Drylands Education Fund.

Na Silvio Nangori, Wanafunzi 54 wanaotoka katika familia maskini katika kaunti ya Marsabit na Samburu wamepokea ufadhili wa masomo kupitia shirika lisilo la kiserikali Kenya Drylands Education Fund. Akizungumza na shajara ya jangwani Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Ahmed Kura amesema kwamba waliopata ufadhili huo ni wale wasiojiweza katika jamii.[Read More…]

Read More

Lazima walioiba chakula cha msaada Sololo wakumbane na mkono wa sheria – Asema Seneta Mohamed Chute.

Na Silvio Nangori, Seneta wa kaunti ya Marsabit Muhamud Chute ametoa wito kwa idara ya usalama kuwakamata wanaoshukiwa kuhusika katika wizi wa chakula unaodaiwa kufanyika  katika eneo la sololo eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii moja kwa moja Seneta Chute amesema kwamba ni aibu zaidi[Read More…]

Read More

Waliohusika katika katika kisa cha wizi wa chakula cha msaada katika eneo la Sololo jimboni Marsabit lazima wachukuliwe hatua za kisheria.

Na Isaac Waihenya, Waliohusika katika katika kisa cha wizi wa chakula cha msaada katika eneo la Sololo jimboni Marsabit lazima wachukuliwe hatua za kisheria. Ndio kauli yake naibu kamishina wa kaunti ndogo ya Sololo Robert Nzuki. Akizungunza na vyombo vya habari Nzuki amesema kwamba tayari uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na ripoti[Read More…]

Read More

Wanafunzi wote waliofanya mitihani ya kitaifa ya Gredi ya 6 na KCPE mwaka jana katika kaunti ya Marsabit lazima waendelee na elimu.

Na Isaac Waihenya, Serekali itahakikisha kwamba wanafunzi wote waliofanya mitihani ya kitaifa ya Gredi ya 6 na KCPE mwaka jana wanaendelea na elimu yao. Kwa mujibu wa kaimu kaunti kamishina wa Marsabit George Kamweru ni kuwa ni haki ya kila mwanafunzi aliyefanya mtihani wa gerdi ya sita kujiunga na Junior[Read More…]

Read More

Onyo kali kwa wanaopania kuvuruga usalama barabarani haswa katika barabara kuu ya Marsabit – Isiolo.

Na Isaac Waihenya, Onyo kali imetolewa kwa wanaopania kuvuruga usalama barabarani haswa  katika barabara kuu ya Marsabit kuelekea Isiolo kuwa watakabiliwa kisheria. Kaimu kaunti kamishina wa kaunti ya Marsabit George Kamweru ametoa tahadhari hiyo huku akitaja kwamba ni hatia kisheria kufunga barabara ya umaa au kuendeleza shughuli zote za kihuni[Read More…]

Read More

Wazee wa jamii ya Gabbra wamshukuru Gavana Abshiro kwa kuipa jamii hiyo nafasi katika serikali yake.

Na Silvio Nangori, Wazee na wasomi oka jamii ya Gabbra katika  ya Marsabit wamemshukuru Gavana wa kaunti ya Marsabit kwa kuipa jamii hiyo nafasi katika uteuzi wake wa maafisa wakuu katika serikali yake. Wakizungumza na wanahabari kwa njia ya kipekee wamesema kwamba waliochaguliwa na Gavana ni viongozi ambao watasaidia wananchi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter