National News

Baraza Kuu la Waislamu Kenya SUPKEM, Laendelea Kusisitiza kwa Serikali Kutojihusisha na Taasisi za Kidini

  Na Samuel Kosgei Baraza Kuu la Waislamu Kenya SUPKEM limeendelea kusisitiza kwamba serikali isijihusishe na taasisi za kidini ikizingatia kuwa Kenya ni nchi ya kidemokrasia. Badala yake, SUPKEM imependekeza kuundwa kwa makosa ya kidini ambayo yatatumiwa kutambua watu wanaokwenda kinyume na mafundisho na ambao watakabiliwa na adhabu kulingana na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter