Job Advertisement
May 1, 2024
Na Adano Sharamo Viongozi wa Azimio sasa wanamtaka jaji mkuu Martha Koome kuingilia kati na kutatua mzozo wa kumuondoa mbunge maalum Sabina Chege kwenye wadhifa wa naibu wa kiranja wa wachache katika bunge la kitaifa. Azimio iliafikia uamuzi huo baada ya mpango wa kumuondoa Chege kupingwa na spika wa bunge[Read More…]
Na Samuel Kosgei Baraza Kuu la Waislamu Kenya SUPKEM limeendelea kusisitiza kwamba serikali isijihusishe na taasisi za kidini ikizingatia kuwa Kenya ni nchi ya kidemokrasia. Badala yake, SUPKEM imependekeza kuundwa kwa makosa ya kidini ambayo yatatumiwa kutambua watu wanaokwenda kinyume na mafundisho na ambao watakabiliwa na adhabu kulingana na[Read More…]
Na Isaac Waihenya Serekali ya kaunti ya Garissa imeanzisha mikakati ya kukamilisha miradi yote iliyokwama ya ujenzi wa masoko kwa malengo ya kuimarima zoezi la ukusanyaji ushuru. Akizungumza baada ya kuzuru masoko ya Mikono na Suuk Mac D, Gavana wa kaunti hiyo Nathif Jama alisema kando na mipango hiyo ya[Read More…]
Na Samuel Kosegi Akina mama kutoka jamii za wafugaji kaunti ya Samburu wametakiwa kujihusisha na kilimo cha ufugaji wa nyuki ili kufanikisha biashara ya asali kama njia moja ya kujipatia mapato. Haya yalijiri katika maonyesho ya mashirika yasiyokuwa ya serikali ya kuwahamasisha wafugaji kujihusisha na biashara mbali mbali. Wadau wa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Wataalamu wa afya wametoa onyo kwamba maradhi yasiyoambukiza (NCD) yanazidi kuwa tishio na kuwa sababu ya pili inayoongoza kwa vifo nchini. Mkutano uliowakutanisha wataalamu wa afya kutoka Kaunti ya Siaya kujadili athari za maradhi yasiyoambukiza katika kaunti hiyo, ulieleza kuwa asilimia 50 ya wagonjwa katika vituo vya[Read More…]
Na Adano Sharamo Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema wazazi na walezi ndio wenye jukumu la kulipia chakula cha wanafunzi katika shule za msingi na upili. Akihojiwa bungeni Machogu alisema hakuna sheria inayoishurutisha serikali kupitia wizara ya elimu kuwalipia wanafunzi katika shule ya msingi na ile ya upili ngazi ya[Read More…]
By Mark Dida, Mshukiwa wa wizi wa mifugo aliyenaswa na maafisa wa polisi siku ya ijumaa kufuatia makabiliano na wahalifu lokesheni ya Mata Arba eneo la Saku hakufikishwa mahakamani hii leo ilivyotarajiwa. Kulingana na OCPD wa Marsabit Central Johnston Wachira ni kuwa idara ya Upelelezi DCI imeomba mahakama siku zaidi[Read More…]
By Mark Dida, Polisi wa kenya kwa ushirikiano na wale wa nchi jirani ya Ethiopia wanaendelea na uchunguzi wa kisa ambapo mhudumu wa boda boda aliuwawa na pikipiki yake kuchukuliwa katika mtaa wa Harosa lokesheni ya Butiye huko mjni Moyale jana jioni. Kulingana na naibu kamishna wa moyale William ole[Read More…]
By Machuki Dennson Four bodies of suspected alshabaab militants have been found after the suspects were neutralised on Sunday morning by the Kenya Defence Forces soldiers in Lamu. This was after the militants attempted to breach security into the Manda Airport in Lamu. According to the statement from KDF the[Read More…]
Bishop Dominic Kimengich has been appointed the Bishop of Eldoret Diocese. He replaces the late Bishop Cornelius Korir who died in 2017. The appointment came just over two years after Korir’s death. The long-serving Lodwar Diocese Bishop was picked by Pope Francis on Saturday to head the diocese that has[Read More…]