Sport Bulletins, Youth

Michuano Miwili Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Kugaragazwa Usiku Wa Leo.

Picha; Hisani

By Waihenya Isaac.

Michuano Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Inatarajiwa Kuendelea Usiku Wa Leo Huku Mechi Mbili Zikiratibiwa Kugaragazwa.

Everton Ya Kocha Carol Anceloti  Itasaka Nafasi Ya Kuchupa Hadi Nafasi Ya Pili Kwenye Jedwali La EPL, Itakapomenyana Na WestHam United Uwanjani Goodison Park Kuanzia Saa Mbili Unusu.

Kwa Sasa Everton  Wanashilia Nafasi Ya Nne Na Alama 20 Huku  WestHam  Ya Kocha David Moyes Ikishikilia Nafasi Ya Kumi  Baada Ya Kujizolea Alama 23 Kutoka Kwa Mechi 16.

Itimiapo Saa Tano Usiku  Vijana  Wa Ole Gunnar Solskjær  Manchester United Atakuwa Nuymbani Ugani Old Trafford Kumenyana Na  Astonvilla.

United Wanashililia Nafasi Ya Pili Ya Na Alama 30 Baada Ya Mechi 15 Huku Astonvilla Wakishikilia  Nafasi Ya Tano Na Alama 26.

Mechi Hii Ilipaniwa Kusakatwa Wakti Wa Ufunguzi Wa Ligi Kuu Msimu Huu Wa Mwaka 2020/2021 Ila Ikaihirishwa Baada Ya Timu Ya Manchester United Kuongezewa Muda Wa Kupumzika Baada Yao Kushiriki Awamu Ya Nusu Fainali Ya Michuano Ya Kombe La Europa Msimu Jana.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter