Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
Na Adano Sharamo
Serikali imetangaza Jumatano wiki hii kuwa sikukuu ya kuadhimisha Eid-ul adha.
Waziri wa usalama wa ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki ametoa tangazo hilo kupitia notisi ya gazeti la serikali.
Eid-Ul-Adha hutumika kuashiria kilele cha hijja ya kila mwaka kwa mahujaji wanaoenda Mecca, mji mtakatifu wa waislamu.