Sport Bulletins

Michuanao Ya Kuwania Kombe La EPL Kuendelea Hii Leo Huku Michuano Mitatu Ikiratibiwa Kugaragazwa.

Picha;Hisani.

By Waihenya Isaac.

Michuanao Ya Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza EPL Inaendelea Hii Leo Huku Michuano Mitatu Ikiratibiwa Kugaragazwa.

Crystal Palace Nyumbani Selhurst Park Atakuwa Mwenyeji Wa Leicester City, Katika Mechi Ambayo Palace Anatarajiwa Kuimarisha Matokeo Yake Baada Ya Kulazwa Magoli Matatu Kwa Nunge Na Aston Villa Weekendi Iliyopita.

Mechi Hiyo Itangoa Nanga Saa Kumi Na Mbili Jioni.

Katika Mechi Nyingine, Chelsea Baada Ya Kupokezwa Kichapo Cha Magoli Matatu Kwa Moja Na Vijana Wa Mikel Arteta Arsenali, Watakuwa Nyumbani Stamford Bridge Kumenyana Na Astonvilla Itmiapo Saa Mbili Unusu Usiku.

Bingwa Wa Mwaka Wa 2018/2019 Manchester City Atasafiri Hadi Ugani Godison Park Kumenyana Na Everton Saa Tano Usiku.

Everton Wanashikilia Nafasi Ya Pili Na Alama  29 Huku Manchester City Wakiwa Katika Nafasi Sita Na Alama 26  Baada Ya Mechi 14.

Subscribe to eNewsletter