Sport Bulletins

Mechi Ya EPL Kati Ya Everton Na Manchester City Yaahishwa Kwa Ajili Ya Korona.

Picha;Hisani

By Waihenya Isaac,

Mchuano Wa Kuwania Kombe La Ligi Kuu Nchini Uingereza Kati Ya Klabu Ya Everton Dhidi Ya Bingwa Wa Mwaka Wa 2018/2019 Manchester City Yaahirishwa.

Kupitia Mtandao Wa Twitter, Klabu Ya City Imetaja Kuwa Mechi Hiyo Imeahirishwa Baada Ya Wachezaji Kadhaa Wa Klabu Hiyo Kukutwa Na Virusi Vya Korona.

Mnamo Siku Ya Jumamosi Wachezaji Kyle Walker Na Mshambuliaji Gabriel Jesus Walilazimika Kujitenga Baada Yao Kupatikana Na Virusi Hivyo.

More To Follow.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter