Featured Stories / News

Wazazi Marsabit watakiwa kuwapa watoto wao ulinzi msimu huu wa likizo

Wazazi Marsabit watakiwa kuwapa watoto wao ulinzi msimu huu wa likizo Ni jukumu la Wazazi kuhakikisha kuwa usalama wa wanao umeisharishwa wakati huu wa likizo. Hayo ni kwa mujibu wa katibu wa muungano wa Maimamu katika kaunti ya Marsabit Sheikh Bashir Somo. Akizungumza na idhaa hii, Sheikh Bashir amesema kuwa[Read More…]

Utumizi wa dawa za kupambana na bakteria mwilini (Antibiotics) ambazo hazijaidhinishwa na mtaalamu wa afya unaweza kusababisha kifo.

Utumizi wa dawa za kupambana na bakteria mwilini (Antibiotics) ambazo hazijaidhinishwa na mtaalamu wa afya unaweza kusababisha kifo. Kwa mujibu wa mwanafamasia katika katika hospitali ya rufaa ya Marsabitt Adan Ibro ni kuwa wakaazi wengi katika kaunti ya Marsabit wanamazoea ya kunua dawa wanapohisi maumivu mwilini jambo ambalo amesema kuwa linahatarisha[Read More…]

Wakaazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya kupunguza muhula wa kutawala kutoka miaka mitano hadi miaka minne.

Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya Senata wa kaunti ya Kiambu Karungo Thungwa ya kutaka muhula wa kutawala kupunguzwa kutoka miaka mitano hadi miaka minne. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya radio jangwani, wamesema kuwa wanaunga mkono mswaada huo wa kupunguza muda wa kuhudumu kwa viongozi[Read More…]

WATU 300 KUPEWA MAFUNZO NA KUJIUNGA NA MAAFISA WA AKIBA NPR,MARSABIT.

Watu 300 wanatarajiwa kupewa mafunzo na kujiunga na kikosi cha maafisa wa akiba NPR jimboni Marsabit. Hii ni baada yao kupigwa msasa katika zoezi lilifanyika kuanzia wiki jana na kuongozwa na OCPD wa maeneo mbalimbali kwa ushirikiano na machifu. Serikali itatoa mwelekeo ambapo 300 hawa watapewa mafunzo na kisha kutumwa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter