Featured Stories / News

NGOS YATAKIWA KUANDAA HAFLA ZA MICHEZO ILI KUEPUSHA WANAFUNZI NA MAWAZO HASI WAKATI WA LIKIZO.

Mashirika yasiyo ya kiserikali yamehimizwa kuwasaidia watoto wakati wa likizo kwa kuandaa mchezo ili kusaidia watoto wajiepushe na mihadarati. Akizungumza na idhaa hii Evana Esokon ambaye ni msimamizi wa shirika la Loyangalani  Spring Of Hope ni kuwa wakati wa likizo ndefu watoto wengi wanajihusisha na mambo ambayo hayafai kama vile[Read More…]

WAFANYAKAZI VIBARUA MARSABIT WAISHITAKI SERIKALI KWA KUWATIMUA KAZINI KABLA YA KANDARASI KUTAMATIKA 2025.

Waliokuwa wafanyikazi wa vibarua katika serikali ya kaunti ya Marsabit wamewasilisha kesi mahakamani kupinga kukatizwa kwa mkataba wao wa  kazi. Walalamishi hao wanaojumuisha walinzi walioajiriwa kati ya mwaka 2014-2021 wanashutumu serikali ya kaunti ya Marsabit kwa kwenda kinyume na makubaliano na mkataba. Katika kesi hiyo iliyowasilishwa katika mahakama ya marsabit[Read More…]

MVUA CHACHE KUSHUHUDIWA MARSABIT WIKI HII – MET

  |Idara Ya utabiri wa hali ya hewa ya kaunti ya Marsabit imesema kuwa Mvua za asubuhi pamoja na mvua za alasiri na hata usiku zinatarajiwa katika maeneo machache ya Kaunti katika kipindi cha wiki moja kuanzia tarehe 5 Jumanne hadi Jumatatu ijayo tarehe 11. Mkurugenzi wa idara ya hewa[Read More…]

Subscribe to eNewsletter