Idara ya vijana na michezo kaunti ya Marsabit yaaanda mafunzo ya siku mbili kwa vijana kuhusiana na jinsi ya kupata bima ili kutunza biashara zao, afya au hata bodaboda zao.
March 17, 2025
IDARA ya utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit imesema kuwa rasha rasha za mvua wakati wa asubuhi, mchana na hata usiku zinatarajiwa katika sehemu kadhaa za jimbo la Marsabit kuanzia leo November 12 – 18th mwaka huu.
Wakati huo imetabiri kuwa mvua kubwa huenda zikapokelewa katika baadhi ya sehemu za kaunti hii ya Marsabit.
Nyuzi-joto Zaidi ya 30 huenda ikashuhudiwa katika kaunti ndogo za North Horr, Moyale na hata Laisamis.
Nyuzijoto ya hadi digrii 18 na 19 zinapokelewa nyakati za usiku katika kaunti ndogo ya Saku na Moyale mtawalia.