Wanafunzi waliokamilisha elimu watakiwa kuwa na subira kuhusu kupokea vyeti vyao vya masomo.
March 25, 2025
Watu 23 raia wa Eritrea walikamatwa hiyo jana katika kaunti ya Marsabit kwa kuwa humu nchini bila stakabadhi hitajika.
23 hao wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Marsabit wakisubiri kufikishwa mahakamani.
Kulingana na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau idara ya usalama jimboni imewakamata wahamiaji 120 bila stakabadhi hitajika katika kipindi cha miezi miwili na ambao wanatumia barabara kuu ya Moyale kuelekea Nairobi.