Wanafunzi waliokamilisha elimu watakiwa kuwa na subira kuhusu kupokea vyeti vyao vya masomo.
March 25, 2025
Msimamizi mkuu kwenye mbuga ya wanyama katika kaunti ya marsabit Augustine Ajuoga amesema kuwa shughuli ya kuwahesabu wanyama pori unaendelea na shughuli hiyo imekua ikifanyika tangu mwaka jana
Vile vile amesema kuwa shughuli hiyo itaaanza mwezi ujao katika kaunti ya marsabit,Mandera na wajir kwa minajili ya kujua hali ya wanyama pori hao ili waweze kujua jinsi watakavyo watunza.