Local Bulletins

regional updates and news

WITO WA WANANCHI WA MARSABIT KUDUMISHA AMANI WASHENI, WANANCHI WAKUKUMBUKA WABUNGE WANEE WALIOANGAMIA KATIKA AJALI YA NDEGE MIAKA 19 ILIYOPITA.

Na Isaac Waihenya, Siku kama ya Leo miaka 19 iliyopita, Taifa liliwapoteza viongozi pamoja na wanaharakati waliokuwa kwenye ziara ya Amani kaunti ya Marsabit. Biwi na simanzi lilitanda katika kaunti ya Marsabit amabayo kipindi hicho ikijulikana kama wilaya ya Marsabit, baada ya kuwapoteza viongozi mahiri ambao walikuwa na maono ya[Read More…]

Read More

NI SHARTI TUBADILI MTINDO WA MAISHA ILI KUEPUKANA NA UGONJWA WA KISUKARI. – ASEMA MTAALAM.

Na JB Nateleng, Ili kuepukana na ugonjwa wa kisukari ni sharti tubadili mtindo wa maisha kwa kufanya mazoezi kila mara. Haya ni kwa mujibu wa afisa anayeshughulika ugonjwa wa kisukari kisukari katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Steve Sereti. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya Kipekee, Sereti ameelezea kwamba[Read More…]

Read More

VIJANA WA KANISA LA KIANGILIKANA KAUNTI YA MARSABIT, WARAI VIJANA NCHINI KUTOKUBALI KUTUMIWA NA WANASIASA KUVURUGA AMANI.

Na Joseph Muchai, Viongozi wa vijana kutoka Parokia mbalimbali za kanisa la kiangilikana la ACK daosisi ya Marsabit wameelezea uwezo wa vijana kuboresha uongozi wa nchi siku za usoni. Wakizungumza na meza ya habari ya Radio Jangwani vijana hao wameonesha imani yao kuwa vijana wana uwezo wa kubadilisha siasa na uongozi[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUWALINDA WANAO MSIMU HUU WA LIKIZO NDEFU YA MWEZI APRILI.

Na Caroline Waforo, Serikali imetakiwa kuhakikisha kuwa inabuni nafasi za ajira kwa vijana nchini ili kutatua nyingi za changamoto zinazoshuhudiwa miongoni mwao katika kaunti ya Marsabit na hata kitaifa. Ni wito ambao umetolewa na mwanaharakati wa kutetea haki za kinadamu katika eneo la Loglogo Alice Leparie. Leparie ambaye amezungumza na[Read More…]

Read More

VISA VYA UNAJISI PAMOJA NA ULAWITI VIAONGEZEKA KATIKA ENEO BUNGE LA MOYALE, KAUNTI YA MARSABIT.

Na Caroline Waforo, Visa vya unajisi pamoja na ulawiti vinaendelea kuongezeka katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit. Hili limebainika kutokana na ongezeko la kesi zinazohusiana na unajisi na ulawiti katika mahakama ya Moyale huku jumla ya kesi 10 zikisajiliwa katika mahakama hiyo katika kipindi cha chini ya miezi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter