Local Bulletins

regional updates and news

Wanawake watekelezwa Marsabit na hata kufanyiwa uamuzi muhimu wakati wa majanga

Na Waihenya Isaac, Jamii nyingi katika kaunti ya Marsabit zimewatelekeza wanawake huku wengi wao wakiumia kipindi kunapotokea majanga kwa kukosa ufahamu. Haya yamebainishwa wakati wa hafla ya kuwahamasisha wanawake kuhusu namna ya kujimudu wakati wa majanga. Afisa anayesimamia shughuli hiyo Sahara Ahmed amesema kuwa ipo hoja ya wanawake kupewa elimu[Read More…]

Read More

Waokaje wa mikate waonywa dhidi ya kupunguza uzani na kutoa matangazo ya uwongo

Silvio Nangori Mamlaka ya kuthibiti Mashindano katika Biashara nchini imwaagiza waokaji wa mikate kukoma kuwaibia wakenya. Kwenye taarifa yake hii leo Mamlaka hiyo imewaagiza wote wanaotengeneza mikate kuweka bayana taarifa yote muhimu katika uuzaji wa mikate yao. Mamlaka hiyo imewataka waokaji wa mikate kuweka wazi tarehe ya kutengenezwa kwa mikate[Read More…]

Read More

Waiguru akosoa vikali hatua ya kutawazwa kwa spika Justin Muturi kuwa msemaji wa jamii za eneo la Mlima Kenya.

Na Adano Sharawe, Gavana wa kaunti ya Kirinyaga, Anne Waiguru amekosoa vikali hatua ya kumtawaza spika wa bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa msemaji wa jamii za eneo la Mlima Kenya. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Facebook na Twitter, gavana huyo amesema kuwa hafla kama ile haina maana[Read More…]

Read More

Makundi mbalimbali yanazidi kujitokeza kuwatetea majaji waliotoa uamuzi unasimamisha mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI.

Na Waihenya Isaac Makundi mbalimbali yanazidi kujitokeza kuwatetea majaji waliotoa uamuzi unasimamisha mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Muungano wa wanasheria wa kimataifa ICJ tawi la Kenya umekuwa wa hivi punde kuwasuta wanasiasa kwa kuendelea kuwashambulia majaji waliotoa uamuzi huo. Kupitia kwa mwenyekiti wake Kelvin Mogeni, ICJ imesema inasimama na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter