Featured Stories / News

SENETA MOHAMED CHUTE ASEMA YUKO TAYARI KUJIUZULU IWAPO TUME YA EACC ITAMPATA NA MAKOSSA

Na Samuel Kosgei SENETA wa Marsabit Mohamed Chute amesema yuko tayari kujiuzulu iwapo tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC itaweza kudhibitisha kuwa alipokea malipo ya shilingi milioni 365 kama ilivyodaiwa wiki jana. Seneta Chute akizungumza na idhaa hii kwenye kipindi cha Amkia Jangwani asubuhi ya Jumatano amesema kuwa yeye hakukamatwa[Read More…]

IDARA YA WATOTO MOYALE NA DCI INAWAFUATILIA WATOTO WAWILI WALIOTOWEKA MAJUMA KADHAA YALIYOPITA MOYALE NA SOLOLO.

   Na Caroline Waforo Idara ya watoto katika eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit imesema kuwa kwa ushirikiano na idara ya upelelezi DCI inaendelea kuwatafuta watoto wawili walioripotiwa kutoweka kwa njia tatanishi majuma kadhaa yaliyopita katika maeneo ya Moyale na Sololo. Kulingana na afisa wa watoto katika eneo bunge[Read More…]

SERIKALI YAZINDUA ZOEZI LA MAFUNZO YA KIDIJITALI LITAKALOENDELEA KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI HAPA JIMBONI MARSABIT.

Na Jalle Elias Serikali imezindua zoezi la mafunzo ya kidijitali litakalo endelea kwa kipindi cha miaka miwili hapa jimboni Marsabit. Kulingana na afisa wa mawasiliano katika mwavuli wa kaunti za FCDC Halima Golicha Ibrahim aliyezungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo ni kuwa majaribio ya zoezi hilo ambayo[Read More…]

photo courtesy

IDARA YA ELIMU KUSHIRIKIANA NA WASHIKADAU WENGINE, KUANGAZIA NAMNA SHULE YA MSINGI YA EL MOLO BAY INAWEZA HAMISHWA – CDE JOSEPH MAKI

NA ISAAC WAIHENYA Idara ya elimu kaunti ya Marsabit itashirikiana na washikadau wengine, ikiwemo ofisi ya CDF katika eneo bunge la Laisamis na wizara ya usalama wa ndani kuangazia namna shule ya msingi ya El Molo Bay inaweza hamishwa katika eneo salama na mbali na maji ya ziwa Turkana katika[Read More…]

Subscribe to eNewsletter