Featured Stories / News

SARATANI YA UMIO YATAJWA KUONGOZA KAUNTI YA MARSABIT KWA ASILIMIA 33.

Saratani ya Umio ndio Saratani inayoongoza katika Kaunti ya Marsabit kwa Asilimia 33 ikifutwa na saratani zinazoanzia sehemu ya shingo kwenda sehemu ya kichwa kwa asilimia 19. Akizungumza na idhaa hii Joyce Makoro ambaye ni afisa anayesimamia kliniki ya saratani katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa idadi ya[Read More…]

IDARA YA BARABARA KAUNTI YA MARSABIT YAHIDI KUKARABATI BARABARA ZITAKAZOHARIBIWA NA MVUA

Idara ya barabara kaunti ya Marsabit itahakikisha kwamba inakarabati barabara zitakazoharibiwa na mvua inayoshuhudiwa katika maeneo mengi ya jimbo la Marsabit. Haya ni kwa mujibu Dr Hitler Rikoi ambaye ni afisa mkuu kutoka idara ya barabara kaunti ya Marsabit. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani ofisini mwake Hitler ametaja kwamba licha ya[Read More…]

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI WA KISIASA KUASI KAMPENI ZA MAPEMA

Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa kuasi kampeni za mapema na badala yake kuwajibikia manifesto ambazo waliahidi Wakenya wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita. Kwa mujibu wa mchungaji wa kanisa la PEFA hapa jimboni Marsabit Daudi Wako ni kuwa wanasiasa wanafaa kuasi kampeni za maapema ambazo zinaweza leta joto[Read More…]

CHP ALIYELALAMA KUHUSU KUITISHWA HONGO ILI KUHUDHURIA MAFUNZO, MARSABIT ATISHIWA KUFUTWA KAZI.

Siku chache tu baada ya kiongozi wa wahuduma wa afya wa kujitolea kutoka mjini Marsabit Rashid Abdi kulalamikia kile alikitaja kuwa baadhi yao viongozi katika idara ya afya wanawaidai hongo ili kuwaruhusu kuhudhuria mafunzo mbalimbali,sasa kiongozi huyo ametaja kuwa ametishiwa kufutwa kazi kutokana na kauli yake. Akizungumza na Shajara ya Radio[Read More…]

Subscribe to eNewsletter