Wizara ya afya Marsabit ndio iliyotengewa mgao mkubwa, Zaidi ya 30% kwenye makadirio wa kifedha 2025/26
June 20, 2025
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi
Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu amejitia kitanzi nyumbani kwao katika kijiji cha Manyatta shrine, eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit
Akithibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya kati, Edward Ndirangu amesema kuwa kisa hichi kilijiri Jana saa mbili usiku, ambapo mwendazake alijinyonga kwa kutumia kitanbaa cha nguo.
Mwili wa mwendazake ulipatikana majira ya jioni ukininginia juu,huku akiwa amejifunga nguo shingoni yake.
Kulingana na Kamanda Ndirangu ni kuwa kilichopelekea kitendo hicho bado haikubainika,huku maafisa wa usalama wakiendelea na uchunguzi ili kubaini kilichopelekea mwanamke huyo kujitoa uhai.
Mwili wa mwendazake umehifadhiwa katika makafani ya hospitali ya rufaa ya Marsabit.