Wafanyabiashara wadogo Moyale kunufaika na mfumo mpya wa biashara bila ushuru.
NA Samuel Kosgei Itakuwa afueni kwa wafanyabiashara wadogo katika mji wa Moyale baada ya serikali…
Afueni kwa watu wanoishi na virusi vya UKIMWI Marsabit Central, serikali ya kaunti ikiwapa msaada wa chakula
NA JB Nateleng Ni afueni kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI katika kaunti ndogo…
Mwanaume mmoja afariki baada ya kufukiwa na mchanga katika machimbo ya Manyatta Daaba, Saku
NA Caroline Waforo. Mwanaume mmoja amefariki dunia baada ya kufukiwa na mchanga katika machimbo ya…
Maafisa wa Kliniki Marsabit kuendelea na mgomo wao.
NA Sabalua Moses Mgomo wa maafisa wa kliniki KUCO tawi la Marsabit unaendelea licha ya…
Viongozi wa kidini Marsabit wahimizwa kuunga mkono vita dhidi ya ukeketaji.
NA JB Nateleng Kama njia ya kuimarisha vita dhidi ya ukeketaji katika kaunti ya Marsabit,…
Usalama waimarishwa Isiolo, mifugo iliyoibiwa yarejeshwa kulingana na kamishna David Kiprop.
NA Nyabande Orwa Kamishna wa kaunti ya Isiolo, David Kiprop, amesema kuwa asasi za usalama…
Jamii ya Marsabit yatakiwa kukomesha dhulma dhidi ya watoto
NA JB Nateleng Jamii ya Marsabit imetakiwa kukomesha dhulma dhidi ya watoto kwani ni suala…
IPOA yaanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha Liban Charfi kufuatia malalamishi ya wananchi
NA Caroline Waforo Mamlaka ya Kuchunguza Utendakazi wa Polisi IPOA imeanzisha uchunguzi kubaini iwapo maafisa…
Wakazi wa Loglogo wafurahia uzinduzi wa Makao mpya ya kusaidia watoto waliokumbwa na dhuluma
NA JB Nateleng Wakazi wa Log Logo, eneo bunge la Laisamis, kaunti ya Marsabit, wameeleza…
DCI wanachunguzi mauaji ya Liban Charfi aliyepatikana ameuwawa baada ya kutoweka, Moyale
NA Caroline Waforo Idara ya upelelezi katika kaunti ya Marsabit imesema kuwa inachunguza mauaji ya…
Kituo cha kuwanusuru watoto chazinduliwa Loglogo
NA JB Nateleng Kituo cha kwanza cha kuwanusuru watoto wanaokabiliana na dhulma za kijinsia, ikiwemo…
KUPPET yaitaka serikali kuu kuharakisha mchakato wa kupandisha vyeo walimu na kupunguza muda wa kutekeleza CBA.
NA Samuel Kosgei Katibu wa chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya…