Highlights

Idara ya watoto Marsabit yafafanua uamuzi wa Mahakama kuwa wasishtakiwe wavulana wanaoshiriki mapenzi na wasichana kwa maelewano

Na JB Nateleng

Afisa wa masuala ya watoto katika kaunti ndogo ya Marsabit Central, Leakey Mukanzi, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu kwamba wasishtakiwe wavulana walio chini ya umri wa miaka 18 wanaoshiriki mapenzi na wasichana wa umri sawa kwa maelewano, ulilenga kuondoa sheria iliyokuwa ikionekana kumkandamiza mtoto wa kiume.

Akizungumza afisini mwake, Mukanzi amefafanua kuwa uamuzi huo haukuhalalishi mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka 18 akisisitiza kuwa bado si jambo linalofaa kwa matineja kujihusisha na masuala ya mapenzi.

Amesema hatua hiyo pia inalenga kutoa nafasi kwa maafisa wa watoto, wazazi na walimu kuwashauri na kuwapa mawaidha vijana wanaojihusisha na mapenzi katika umri mdogo.

Mukanzi pia amesisitiza umuhimu wa wazazi kuwa karibu na watoto wao kwa kufahamu walipo na shughuli wanazofanya ili kusaidia kupunguza visa vya watoto kupotea kutokana na utepetevu wa malezi.

Aidha, amewataka wazazi na jamii kushirikiana katika kuwaongoza watoto kuhusu maadili mema na umuhimu wa elimu kwa ajili ya kujenga jamii bora kwa vizazi vijavyo.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

7 comments

comments user
Mellissa

Thanks for finally writing about > Idara ya watoto Marsabit yafafanua uamuzi wa Mahjakama kuwa wasishtakiwe wavulana wanaoshiiriki
mapenzi na wasichana kwa maelewano – Radio Jangwani < Liked it!

comments user
Serena

First of all I want to say excellent blog! I had a quick question which I’d like to ask if you do not mind.

I was interested to know how you center yourself and clear your thoughts prior to writing.
I have had trouble clearing my thoughts in getting my thoughts out.
I truly do take pleasure in writing however it just seems like the first 10 to 15 minutes are generally lost
just trying to figure out how to begin. Any ideas or hints?
Thanks!

comments user
Johnnie

You can definitely see your enthusiasm within the article you write.
The sector hopes for even more passionate writers
such as you who are not afraid to say how they believe.
Always go after your heart.

comments user
Wendell

I every time spent my half an hour to read this weblog’s articles daily along with
a cup of coffee.

comments user
Ima

When someone writes an piece of writing he/she keeps the image
of a user in his/her brain that how a user can know it.
Thus that’s why this piece of writing is great. Thanks!

comments user
Sonia

Hi, just wanted to say, I loved this article. It was inspiring.
Keep on posting!

comments user
Angela

Wow! At last I got a webpage from where I know how to truly obtain helpful facts regarding my study and knowledge.

Post Comment