Highlights

Wauzaji wa samaki katika eneo la Loyangalani wataka msaada wa soko wa kuuzia samaki wao.

Na Sabalua Moses

Mwenyekiti wa  kikundi cha akina mama  cha  Kilimabogo Fried Fish   Fransesca Lopeyok amesema kuwa ukosefu wa  soko la kuuzia samaki  ndio changamoto kuu  kwa wachuuzi wa samaki katika kikundi hicho cha akina mama eneo la Loiyangalani.

Akizungumza na shajara ya Radio jangwani kwa njia ya simu Fransesca amesema kuwepo kwa soko kwa kikundi hicho kutawasaidia kuuza samaki  pamoja na kupata wanunuzi kwa urahisi.

Aidha ,Fransesca amesema  ukosefu wa soko wa samaki imekuwa changamoto kwao akitaka serikali na wahisani kuwasaidia kujenga soko hilo.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment