Wafugaji na wakulima waombwa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Marsabit
Na Sabalua Moses Wafugaji na wakulima katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kukumbatia mabadiliko ya tabia…
Usalama waimarishwa Marsabit Central kuelekea sherehe ya Idd-Ul-Fitr kesho Ijumaa
Na Caroline Waforo Idara ya usalama katika kaunti ndogo ya Marsabit Central imewahakikishia wakaazi usalama wa kutosha…
Zaidi ya watu 134,000 wahitaji msaada wa dharura wa chakula Marsabit
Na JB Nateleng Licha ya Kaunti ya Marsabit kupokea mvua mwishoni mwa mwezi wa pili…
Mvutano wa kisiasa kati ya rais Ruto na Gachagua wazua Hisia Marsabit
Na Nyabande Orwa Huku siasa za uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 zikizidi kushika kasi…
Mfugaji mmoja auawa kwa kupigwa risasi Hawaye, Marsabit
Na Caroline Waforo Mfugaji mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Hawaye lokesheni ya…
Vijana Marsabit wahimizwa kusambaza semi za amani mitandaoni na kuasi semi za chuki
Na Sabalua Moses Viongozi wa kidini katika kaunti ya Marsabit wamewataka vijana kuepuka kutumiwa vibaya…
Serikali yahamasisha matumizi ya nishati safi kupitia mradi wa KOSAP
Na Nyabande Orwa Kama njia moja ya kuhakikisha mazingira ya kaunti hii yanalindwa na kuboreshwa…
Mwanaume ahukumiwa miaka miwili jela kwa kujaribu kutoroka mikononi mwa maafisa wa magereza, Marsabit
Mwanaume mmoja aliyejaribu kutoroka mikononi mwa maafisa wa magereza katika mazingira ya mahakama ya Marsabit…
Naomi Waqo akanusha kujiondoa mbio za ugavana Marsabit 2027.
Na Samuel Kosgei Mwakilishi wa Wanawake katika Kaunti ya Marsabit, Naomi Jillo Waqo, amepuuzilia mbali…
Mwavuli wa Maikona VSLA waanzishwa kuimarisha biashara za wanachama
Na Caroline Waforo Vikundi 40 vya kijamii vya akiba na mikopo kutoka wadi ya Maikona…
Vijana wahimizwa kuongoza juhudi za utunzaji mazingira Loiyangalani
Na JB Nateleng Wakazi wa Loiyangalani wamehimizwa kuendelea kushiriki kikamilifu katika juhudi za kulinda na…
Waumini wa Kiislamu wahimizwa kuwasaidia wasiojiweza
Na JB Nateleng Leo ikiwa ni Ijumaa ya mwisho katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, waumini…