Wazee wa Kargi wahimizwa kuwa na simu kupokea fedha za Inua Jamii
Na Sabalua Moses
Wazee wenye umri wa miaka 70 na zaidi wanaojiandikisha katika mpango wa Inua Jamii eneo la Kargi wametakiwa kuwa na simu za mkononi ili waweze kupokea fedha zinazotolewa na serikali kupitia mpango huo.
Wito huo umetolewa na naibu chifu wa kata ndogo ya Kargi, Moses Itaanyua.
Akizungumza na kituo hiki kwa njia ya simu, Itaanyua amesema wazee wengi kutoka eneo la Kargi wamejitokeza kujiandikisha, jambo ambalo linaonyesha kuwa wameelewa umuhimu wa mpango huo unaolenga kuwasaidia kujikimu na kuboresha maisha yao.
Charlie Clements
You’re so awesome! I don’t believe I have read a single thing like that before. So great to find someone with some original thoughts on this topic. Really.. thank you for starting this up. This website is something that is needed on the internet, someone with a little originality!



1 comment