Highlights

Zoezi la usajili wa vitambulisho kuanza  rasmi kesho eneo la Laisamis

Na Sabalua Moses

Wito umetolewa kwa wananchi kutoka Laisamis  kutafuta vitambulisho katika zoezi litakaloanza hiyo kesho.

Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu chifu wa Laisamis  Agostine Super amewataka wakazi kujitokeza katika zoezi hilo litakalo anza kesho na kuendelea kwa  miezi mitatu zijazo.

Aidha,   supeer amesema tayari serikali imetoa vitambulisho kwa wale waliotuma maombi huku zikisubiri kuchukuliwa.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment