Viongozi wa dini ya Kiislamu waungana kupinga ukeketaji, Marsabit Central
Na JB Nateleng Viongozi wa dini ya Kiislamu katika kaunti ndogo ya Marsabit Central eneo…
Wakaazi mjini Marsabit waunga mkono pendekezo la muungano wa KUCO la kuhamishwa kwa huduma za afya hadi serikali kuu
Na Sabalua Moses Baadhi ya wakaazi mjini Marsabit wameunga mkono pendekezo la muungano wa maafisa…
Ngamia 4 wauawa katika shambulizi la wizi wa mifugo, Kambinye
Na Caroline Waforo Ngamia wanne wameuawa, sita wakijeruhiwa huku wengine 3 wakiibwa katika shambulizi la…
Kanisa Katoliki laendelea kukuza elimu maadili na nidhamu miongoni mwa wanafunzi Marsabit asema Padri Abraham Ali.
Na JB Nateleng Kanisa Katoliki limeendelea kutoa mchango mkubwa katika jimbo la Marsabit, hasa katika…
Wakazi Marsabit watoa hisia mseto kuhusu mswada wa Ajira
Na Abdiaziz Yusuf Siku chache baada ya seneta wa kaunti ya marsabit Mohamed Chute kuwasilisha…
Utafiti waonyesha kwamba asilimia kubwa ya Wakenya wanaimani na utendaji wa wanahabari.
Na JB Nateleng Utafiti uliofanyika umebaini kuwa asilimia 79 ya Wakenya wana imani na utendaji…
Kesi Dhidi ya kampuni ya BP inayodaiwa kufanya Uchafuzi wa Mazingira Kargi na Kalacha kuanza kutajwa Mahakamani Isiolo siku ya Jumatano
Mahakama ya Mazingira na Ardhi imeamua kuwa kesi ya pamoja dhidi ya kampuni ya mafuta…
Wazazi Marsabit wahimizwa kurejesha watoto shuleni kwa muhula wa pili ulioanza wiki iliyopita
Na JB Nateleng Wazazi katika jamii za wafugaji, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanawarejesha watoto wao shuleni…
Polisi Marsabit Central wanachunguza kisa cha wizi wa boda boda, Majengo
Na Caroline Waforo Polisi katika kaunti ndogo ya Marsabit Central wanachunguza kisa cha wizi wa…
Wakaazi wa Karare watakiwa kuchukua tahadhari msimu huu wa mvua
Na Sabalua Moses Wakaazi wa eneo la Karare wametakiwa kuwa waangalifu kufuatia mvua kubwa inayoendelea…
Seneta wa Marsabit aitaka serikali kuwahamisha IDPs na kushughulikia mzozo wa wakimbizi
Na Samuel Kosgei Seneta wa Marsabit Mohamed Chute ameihimiza serikali kuu kuingilia kati haraka mzozo…
Wakaazi wa Manyatta Otte walalamika ubovu wa barabara
Na JB Nateleng Wakaazi wa Manyatta Otte, eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit, wamelalamikia…