Highlights

Wakaazi wa Karare watakiwa kuchukua tahadhari msimu huu wa mvua

Na Sabalua Moses

Wakaazi wa eneo la Karare wametakiwa kuwa waangalifu kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika eneo hilo na maeneo ya karibu.

Chifu wa lokesheni ya Karare, Magdalene Nankishan, ametoa tahadhari hiyo akisema mvua iliyonyesha jana ilisababisha hasara kubwa, ambapo baadhi ya nyumba zilisombwa na maji na mali kuharibiwa, ikiwemo mazao mashambani.

Chifu Magdalene amewataka wazazi kuwa makini na kuwalinda watoto wao ili kuepuka ajali, hasa katika kipindi hiki cha mvua za masika.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment