Viongozi Marsabit wakosoa hatua ya serekali kuvunjilia mbali shirika la NACONNET….
February 4, 2025
http://https://www.youtube.com/watch?v=wFV2KoE1GSw The late Bishop Ravasi was led to rest on 6th November 2020. He was the Emeritus Bishop of Marsabit Diocese. This Video was produced by Radio Jangwani / Baragumu ya Faraja.
NA CAROLILINE WAFORO Serikali imeendelea kukosolewa kwa kuvunjiliwa mbali shirika la National Council for Nomadic Education NACONNET na ambalo limekuwa la manufaa makubwa kwa wakaazi wa maeneo kame ikiwemo kaunti ya Marsabit haswa katika kuinua kiwango elimu. Wakizungumza na wanahabari leo Jumanne baadhi ya viongozi jimboni wamekosoa baraza la mawaziri kwa uamuzi[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Hospitali ya Laisamis Level 4 katika kaunti ya Marsabit, inajivunia kile imekitaja kwamba ni hatua katika utoaji wa huduma baada ya kufanikiwa kufanya zoezi la upasuaji wa kwanza wakati mama anapojifungua. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia simu mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Liban Wako[Read More…]
NA JB NATELENG Huku dunia ikiadhimisha wiki ya Maelewano ya Dini Ulimwenguni, wito umetolewa kwa viongozi wa dini kuweza kueneza injili kwa waumini bila ubaguzi huku viongozi hawa wakishauriwa kuweza kujitolea kikamilifu katika kufuata na kuendeleza uhusiano mwema kati ya madhehebu mbalimbali jimboni Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia[Read More…]
Na Abdiaziz Yusuf, dara ya maeneo kame na ustawi miji kwa ushirikiano na mamlaka ya kupambana na majanga NDMA hii leo imekabidhi gari la kusambaza maji maarufu (water bowser) kwa wakaazi wa dadach lakole wadi ya Butiye katika juhudi za kupambana na kero la ukosefu wa maji katika eneo hilo.[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Naibu Gavana wa Narok, Tamalinye Koech amewahimiza wafugaji kutoka kaunti hiyo kukukubali chanjo kutolewa kwa mifugo wao akisema kwamba itakuwa ya manufaa zaidi kwani mifugo hao watalindwa dhidi ya magonjwa mbalimbali. Akizungumza na waadhishi wa habari naibu Gavana huyo amesisitiza haja ya wananachi kutopotoshwa na watu wanaolenga[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wakaazi hapa nchini wametakiwa kujitokeza kwa uchunguzi wa ugoinjwa wa saratani mapema. Wito huu umetolewa na afisa mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Moi mjini Eldoret daktari Philip Kirwa. Akizungumza hii leo wakati wa maadhimisho ya siku ya saratani dunia Kirwa amehimiza haja ya watu kujitokeza[Read More…]
NA ABDILAZIZ ABDI Wakaazi wa kata ya Golole wadi ya Uran kataika emneo bunge la Moyale wanalalamikia kile wanachokidai kuwa ni ukosefu wa mtandao Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, wamesema kuwa ukosefu wa mtandao umeduwaza mawasiliano baina yao na watu wengine. Aidha wamesema swala[Read More…]
Na Joseph Muchai, Bweni la shule ya upili ya Marsabit Boys limechomeka usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari ni kuwa moto huo ulichipuka kwenye bweni moja japo kufikia sasa habari kuhusiana na majeruhi haijatolewa. Juhudi zetu za kupata taarifa kutoka kwa mwalimu mkuu ziligonga mwamba[Read More…]
Na Abdiaziz Yusuf, Hatimaye kero la uhaba wa maji katika kata ya Golole wadi ya Uran eneo Bunge la Moyale limepata suluhu. Hii ni baada katibu wa kudumu katika idara ya maeneo kame na ustawi wa miji Kello Harsama kwa ushirikiano wa kerikali kuu kupitia mamlaka ya kushughilikia majanga nchini[Read More…]
Na JB Nateleng, Wito umetolewa kwa idara ya maji kaunti ya Marsabit kuweza kukarabati kisima cha Boqe kilichopo lokesheni ya Kalacha eneo bunge la North horr. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, chifu wa eneo la Kalacha Sabdio Wario amesema kuwa kisima hicho kiliharibika mnamo mwaka wa 2021[Read More…]