Asilimia 13.5 ya Marsabit yaathirika na utapiamlo
Kaunti ndogo za Laisamis, North Horr, Moyale na Saku ndizo zilizoathirika zaidi na tatizo la…
Wahamiaji 6 raia wa Ethiopia washtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa kuwa nchini kinyume cha Sheria
Wahamiaji 6 raia wa Ethiopia wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa kuwa nchini Kenya kinyume na…
Ushirikiano wa Wananchi Watakiwa Kukomesha Wizi wa Mifugo Laisamis.
Na Samuel Kosgei Wakazi wa kaunti ndogo ya Laisamis wametakiwa kushirikiana na maafisa wa polisi…
Wakaazi Marsabit Central watoa hisia mseto kuhusu pendekezo la kufuta ushuru wa mishahara kwa wakenya wa kipato cha chini ya shilingi 30,000
NA JB Nateleng Baadhi ya wakaazi wa Marsabit Central, eneo bunge la Saku, wamepongeza mpango…
Bunge la Kaunti ya Marsabit hutenga milioni 55Â kila mwaka wa kifedha kufadhili mpango wa chakula ECDE-Asema mwakilishi wadi mteule Kiya Jillo
NA JB Nateleng Naibu Mwenyekiti wa kamati ya Elimu katika bunge la kaunti ya Marsabit…
Mvulana wa miaka 14 ashtakiwa kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka 7, Marsabit Central
Na Caroline Waforo Mvulana wa miaka 14 amekamatwa na kushtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa…
Tume ya uchaguzi IEBC yamteua Moses Sunkuli kuwa kaimu mtendaji wake.
Na Samuel Kosgei Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imemteua Moses Ledama Sunkuli kuwa…
Wadau waitaka idara ya Elimu ya Chekechea kufuata kanuni za ajira na kuwalinda walimu
NA JB Nateleng Idara ya Elimu ya Chekechea katika Kaunti ya Marsabit imehimizwa kuwalinda walimu walioajiriwa…
Jamii eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit yatolewa hamasa ya kuwapeleka wanao shuleni
NA Silvio Nangori Jamii eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit imetolewa hamasa ya kuwapeleka wanao…
Idara ya afya Marsabit yaahidi kukarabati chumba cha kina mama kujifungua katika zahanati ya Shurr
NA Nyabande Orwa Waziri wa afya katika kaunti ya Marsabit, Malicha Boru, ameahidi kuwa idara hiyo inashughulikia marekebisho…
Vijana waliopata Nyota Fund Marsabit wametakiwa kuchangamkia hatua ya kupewa leseni za biashara bure kwa mwaka mmoja
NA Samuel Kosgei VIJANA waliofaidi na mradi wa Nyota Fund katika Kaunti ya Marsabit wametakiwa…
Walimu wapya 84 waajiriwa na serikali ya jimbo ili kuinua viwango vya elimu ya ECDE
NA JB Nateleng Idara ya Elimu ya Chekechea katika Kaunti ya Marsabit imeajiri walimu 84,…