Aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit Gabriel Gambare azikwa katika eneo la Hula Hula.
November 12, 2024
By Waihenya Isaac. Asilimia 80 Ya Nzinge Ambao Walivamia Mashamba Katika Kaunti Ya Samburu Wameangamizwa Kufuatia Juhudi Za Shirika La Chakula Dunianai FAO, Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Na Pia Serekali Kuu. Kwa Mujibu Wa Shirika Hilo Ni Kuwa Hali Hiyo Inahatarisha Kutosheleza Kwa Chakula Katika Kaunti Ya Samburu Baada[Read More…]
By Waihenya Isaac, Kinara Wa ODM Raila Odinga Anaendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI Huku Kura Ya Maamuzi Ikitarajiwa Kufanyika Baadaye Mwaka Huu. Raila Anatarajiwa Kuandaa Mkutano Wa Hadhara Hii Leo Katika Eneo Githurai Kaunti Ya Nairobi,Kabla Ya Kufululiza Hadi Eneo La Mlima Kenya Ambapo[Read More…]
By Waihenya Isaac, Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Ameelekea Mjini Washington DC, Mji Mkuu Wa Marekani Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani. Katika Hotuba Yake Ya Mwisho Ya Kuaga Makao Yake Makuu Ya Delaware Biden Alitokwa Na Machozi Akieleza Namna Akavyofika Kule Washinghton Ili[Read More…]
By Adano Sharawe, Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki. Akizungumza Alipoongoza Mkutano Wa Magavana Wa Chama Hicho Hii Leo, Odinga Amewataka Viongozi Hao Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Kuilinda Vilivyo Ripoti Hiyo Kutoka Kwa Watu Anaosema Wanalenga Kuwapotosha Wakenya Kuihusu. Waziri[Read More…]
By Waihenya Isaac, Waziri Wa Usalama Wa Ndani Daktari Fred Matiangi Amekutana Na Baadhi Ya Viongozi Wa Kaskazini Mwa Nchini Ili Kutafuta Suluhu La Mizozo Ya Mara Kwa Mara Ambayo Imekuwa Ikishuhudiwa. Akizungumza Baada Ya Mkutano Huo Ambao Uliwaleta Pamoja Magavana Mohamed Kuti Wa Isiolo, Ali Bunow Korane Wa Garissa[Read More…]
Yoweri Museveni ametangazwa kuwa rais mteule Uganda baada ya kupata ushindi wa kura asilimia 58.64. Tume ya Uchaguzi Uganda (EC) imemtangaza Yoweri Kaguta Museveni kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Alhamisi tarehe 14 Januari 2021. Kwa mujibu wa EC Museveni amepata kura 5,851,037 sawa na asilimia 58.64 ya kura zote[Read More…]
By Samuel Kosgei, Naibu Wa Rais William Ruto Amekariri Kuwa Ataendelea Kupigania Haki Za Wananchi Wa Tabaka La Chini Kwa Msingi Kuwa Kila Mkenya Ana Haki Ya Kuishi Vizuri Na Kupata Ajira Kama Wakenya Wengine. Akizungumza Alipozuru Kaunti Ya Bomet Mapema Leo DP Ruto Amesema Kuwa Taifa Hili Halifai Kugawanywa[Read More…]
By Adano Sharawe, Bodi Ya Kitaifa Ya Nafaka Na Mazao (NCPB) Itaongeza Bei Ya Kununua Mahindi Kutoka Kwa Wakulima Baada Ya Idadi Ndogo Ya Wakulima Kujitokeza Kuuza Mazao Yao Katika Maghala Ya Eldoret. Wakulima Wakiongozwa Na Mkurugenzi Wa Shirika La Wakulima Kaskazini Mwa Bonde La Ufa Kipkorir Menjo Wamesema Kuwa Idadi[Read More…]
By Samuel Kosgei, Mbunge Wa Isiolo Kusini Abdi Tepo Amesema Kwamba Viongozi Wa Kifaifa Katika Kutoka Kaunti Ya Isiolo Wamemwandikia Barua Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Wakimtaka Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir. Mbunge Huyo Aliyekuwa Akiongea Katika[Read More…]
By Adano Sharawe, Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21. Ripoti ya mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakang’o inaonyesha kuwa kaunti ya Kirinyaga imeafikia makadirio yake katika miezi mitatu ya kwanza baada ya kukusanya jumla ya[Read More…]