Local Bulletins

Asilimia 80 Ya Nzinge Ambao Walivamia Mashamba Katika Kaunti Ya Samburu Wameangamizwa.

Picha; Hisani

By Waihenya Isaac.

Asilimia 80 Ya Nzinge Ambao Walivamia Mashamba Katika Kaunti Ya Samburu Wameangamizwa Kufuatia Juhudi Za Shirika La Chakula Dunianai  FAO, Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Na Pia Serekali Kuu.

Kwa Mujibu Wa Shirika Hilo  Ni  Kuwa Hali Hiyo Inahatarisha Kutosheleza Kwa Chakula Katika Kaunti Ya Samburu  Baada Ya Wadudu Hao Kusababisha Uharibifu Mkubwa.

Aidha Fao Imeahidi Kushirikiana Kwa Karibu Na Asasi Zinahosika Na Maswala Ya Chakula Katika Kaunti Hiyo Huku Ilisambaza Vifaa Vya Kukabiliana Na Nzige Hao Wa Jangwani.

Imeahidi Kuendeleza Juhudi Za Kukabilina na Idadi Chache Ambayo Imesalia Ya Wadudu  Hao.

Hayo Yanajiri Huku  Baadhi Ya Watu Katika  Wadi 15 Katika Kaunti Hiyo Wakipata Mafunzo Kuhusu Jinsi Ya Kukabiliana Na Wadudu Hao Waharibifu.

Subscribe to eNewsletter