Featured Stories / News

Seneta Kipchumba Murkomen Kupinga Mipango Yoyote Ya Kumuondoa Seneta Irungu Kang’ata Kutoka Kwa Nafasi Yake Ya Kiranja Wa Bunge La Seneti

By Adano Sharawe Seneta Wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen Sasa Anasema Atapinga Mipango Yoyote Ya Kumuondoa Seneta Irungu Kang’ata Kutoka Kwa Nafasi Yake Ya Kiranja Wa Bunge La Seneti Murkomen Amesema Ikiwa Uongozi Wa Chama Cha Jubilee Utaitisha Kikao Cha Kumuondoa Kang’ata, Watahudhuria Na Kupinga Hatua Hiyo. Amesema Badala Yake[Read More…]

Kasisi Mmoja Katika Kaunti Ya Kirinyaga Akabiliwa Na Mashataka Ya Kuwanajisi Na Kuwapa Ujauzito Wanawe Wawili Wenye Umri Wa Miaka 14 And 16 Mtawalia.

By Jilo Dida. Kasisi Mmoja Katika Eneo  La Ndia Kaunti Ya Kirinyaga Anakabiliwa Na Mashataka Ya Kuwanajisi Na Kuwapa Ujauzito Wanawe Wawili Wenye Umri Wa Miaka 14 And 16 Mtawalia. Mshukiwa  Huyo Kwa Jina  Guchina Mwenye Umri Wa Miaka 51 Atasalia  Rumande Hadi Siku Ya Alhamisi Januari 7 Baada Ya[Read More…]

Waziri Magoha Awaonya Waalimu Wakuu Wanaowarudisha Nyumbani Wanafunzi Kwa Kukosa Kulipa Ada Ya Maendeleo Ya Shule

By Adano Sharawe Serikali Kupitia Wizara Ya Elimu Imewaonya Vikali Walimu Wakuu Wanaowarudisha Nyumbani Wanafunzi Kwa Kukosa Kulipa Ada Ya Maendeleo Ya Shule. Akizungumza Alipozuru Shule Mbali Mbali Katika Kaunti Ya Nyeri Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Ameonya Kuwa Mwalimu Yeyote Atakayemrudisha Mwanafunzi Nyumbani Kwa Kutolipa Ada Hio Ya[Read More…]

Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE – Magoha.

By Waihenya Isaac. Watahiniwa Kutoka Shule Za Kibinafsi Zilizofungwa Kwa Ajili Ya Makali Ya Korona, Hawatakosa Kukalia Mitihani Yao Ya KCSE Na KCPE Mwaka Ujao. Kwa Mujubu Wa Wa Ziri Wa Elimu Profesa George Magoha Ni Kuwa Wizara Ya Elimu Pamoja Na Washikadau Katik Asekta Hiyo Wataandaa Kikao Ili Kutafuna[Read More…]

NCIC Yatupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna.

By Adano Sharawe. Tume Ya Kitaifa Ya Uwiano Na Utangamano NCIC Imetupilia Mbali Mashtaka Dhidi Ya Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Na Katibu Mkuu Wa Chama Cha ODM Edwin Sifuna Kuhusiana Na Matamshi Yasiyofaa Waliyotoa Hivi Majuzi Wakati Wa Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Msambweni. Kamishna Wa Tume Hiyo Ya NCIC Danvas Makori[Read More…]

Subscribe to eNewsletter