Featured Stories / News

Mali Ya Dhamani Isiyojulikana Imeteketea Baada Ya Moto Kuchoma Ofisi Na Bunge La Kaunti Ya Garissa.

By Samuel Kosgei, Mali ya dhamani isiyojulikana imeteketea baada ya moto kuchoma ofisi na bunge la kaunti ya Garissa. Inaripotiwa kuwa Moto mkubwa ulianza kuonekana katika jengo hilo majira ya saa mbili unusu asubuhi ikitajwa kuharibu bunge lenyewe na ofisi za idara mbalimbali bungeni. Kulingana na kiongozi wa wachache katika[Read More…]

Gavana Wa Kaunti Ya Kakamega Wycliffe Oparanya Amtaka Kinara Wa ODM Raila Odinga Kuunga Mkono Azma Yake Ya Kuwania Urais Mwaka 2022.

By Waihenya Isaac, Gavana wa Kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ameelezea matumaini ya kupata tiketi ya chama cha ODM ili kuwania urais mwaka wa 2022. Oparanya, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, amesema atatuma ombi la kuteuliwa ili kujiunga na wale watakaopigania tiketi ya chama hicho ya kuwania[Read More…]

Uongozi Wa Chama Cha Jubilee Katika Bunge La Kaunti Ya Nairobi Umejitenga Na Matamshi Ya Gavana Wa Zamani Wa Nairobi Mike Sonko.

By Adano Sharawe, Uongozi wa Chama cha Jubilee katika Bunge la Kaunti ya Nairobi umejitenga na matamshi ya Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko kuhusu ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka 2017. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi wa Bunge hilo Abdi Guyo, wameshutumu matamshi ya Sonko na kumtaka kubeba[Read More…]

Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Imewaonya Wanasiasa Dhidi Ya Kutumia Matamshi Ya Hustler Na Dynasty.

By Waihenya Isaac, Tume Ya Uiano Na Utengamano Nchini NCIC Imewaonya Wanasiasa dhidi Ya Kutumia matamshi ya walala hoi na walala hai kwenye kampenzi zao kwa sababu yanalenga kuwagawanya wakenya. Kwenye Kongamano la kuwahamasisha wanahabari Makamishna wa  tume hiyo Philip Okundi Na Dorcas Kidogo wamesema kuwa matamshi hayo yatawagawanya wakenya[Read More…]

Kinara Wa ODM Raila Odinga Aendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI.

By Waihenya Isaac, Kinara Wa ODM Raila Odinga Anaendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI Huku Kura Ya Maamuzi Ikitarajiwa Kufanyika Baadaye Mwaka Huu. Raila Anatarajiwa Kuandaa Mkutano Wa Hadhara Hii Leo Katika Eneo Githurai Kaunti Ya Nairobi,Kabla Ya Kufululiza Hadi Eneo La Mlima Kenya Ambapo[Read More…]

Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Aeelekea Mjini Washington DC, Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani.

By Waihenya Isaac, Rais Mteule Wa Marekeani Joe Biden Ameelekea Mjini Washington DC, Mji Mkuu Wa Marekani Ili Kuapishwa Baadae Hii Leo Kuwa Rais Wa 46 Wa Marekani. Katika Hotuba Yake Ya Mwisho Ya Kuaga Makao Yake Makuu Ya Delaware Biden Alitokwa Na Machozi Akieleza Namna Akavyofika Kule Washinghton Ili[Read More…]

Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki.

By Adano Sharawe, Kiongozi Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Chama Chake Kitalinda Vilivyo BBI Na Handisheki. Akizungumza Alipoongoza Mkutano Wa Magavana Wa Chama Hicho Hii Leo, Odinga Amewataka Viongozi Hao Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Kuilinda Vilivyo Ripoti Hiyo Kutoka Kwa Watu Anaosema Wanalenga Kuwapotosha Wakenya Kuihusu. Waziri[Read More…]

Subscribe to eNewsletter