Featured Stories / News

Waziri Wa Usalama Wa Ndani Daktari Fred Matiangi Atakiwa Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir.

By Samuel Kosgei, Mbunge Wa Isiolo Kusini Abdi Tepo Amesema Kwamba Viongozi Wa Kifaifa Katika Kutoka Kaunti Ya Isiolo Wamemwandikia Barua Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Wakimtaka Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir. Mbunge Huyo Aliyekuwa Akiongea Katika[Read More…]

Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21.

By Adano Sharawe, Kaunti tatu pekee kati ya 47 zilifanikiwa kuafikia shabaha ya ukusanyaji mapato katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2020/21. Ripoti ya mkaguzi wa bajeti Margaret Nyakang’o inaonyesha kuwa kaunti ya  Kirinyaga imeafikia makadirio yake katika miezi mitatu ya kwanza baada ya kukusanya jumla ya[Read More…]

Hatma Ya Walimu Zaidi Ya Elfu 300 Walio Na Cheti Cha P1 Ambao Hawajaajiriwa Haijulikani Baada Ya Serikali Kuogeza Vigezo Vya Kufuzu Na Cheti Hicho.

By Samuel Kosgei, Hatma Ya Walimu Zaidi Ya Elfu 300 Walio Na Cheti Cha P1 Ambao Hawajaajiriwa Haijulikani Baada Ya Serikali Kuogeza Vigezo Vya Kufuzu Na Cheti Hicho. Mwezi May Mwaka Huu Vyuo Vya Kutoa Mafunzo Kwa Walimu Vinatarajiwa Kuanza Kutoa Huduma Za Diploma Pekee Ili Kuwiana Na Mtalaa Mpya[Read More…]

Ibada Ya Wafu Ya Mamake Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi, Hannah Atsianzale Mudavadi Yaandaliwa Hii Leo Jijini Nairobi.

By Waihenya Isaac. Ibada Ya Wafu Ya Mamake Kinara Wa ANC Musalia Mudavadi, Hannah Atsianzale Mudavadi Inaendela Katika Kanisa La Friends Ngong Jijini Nairobi. Atsianzale Aliaga Dunia Disemba 28, 2020 Alipokuwa Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Akiwa Na Umri Wa Miaka 92. Mama Hannah Atsianzale Atapumzishwa Jumamosi Hii Nyumbani[Read More…]

Subscribe to eNewsletter