KAUNTI YA MARSABIT YALENGA KUHAKIKISHA SHERIA YA KUWALINDA WALEMAVU IMEBUNIWA KUFIKIA MWISHONI MWA MWAKA WA 2025.
December 3, 2024
By Samuel Kosgei,
Mbunge Wa Isiolo Kusini Abdi Tepo Amesema Kwamba Viongozi Wa Kifaifa Katika Kutoka Kaunti Ya Isiolo Wamemwandikia Barua Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Wakimtaka Kuongeza Maafisa Wa Polisi Katika Maeneo Yanayokumbwa Na Ukosefu Wa Usalama Mpakani Mwa Isiolo Na Wajir.
Mbunge Huyo Aliyekuwa Akiongea Katika Wadi Ya Kinna Amedai Kwamba Shule Saba Zimesalia Kufungwa Huku Wanafunzi Wakihofia Maisha Yao
Wakati Uo Huo Mbunge Huyo Ameonekana Kukerwa Na Jamii Njirani Ambao Wanadai Wana Mazoea Ya Kuvamia Wakaazi Wa Isiolo Mara Kwa Mara Licha Ya Kuwepo Na Mkataba Wa Kuishi Kwa Amani.
Kadhalika Amesema Kwamba Kuna Mpango Wa Kutegeneza Vituo Zaidi Vya Polisi Katika Maeneo Tofauti Katika Eneo Bunge La Isiolo Kusini