Local Bulletins

Kinara Wa ODM Raila Odinga Aendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI.

Kinara Wa ODM Raila Odinga.
Picha:Hisani

By Waihenya Isaac,

Kinara Wa ODM Raila Odinga Anaendeleza Kampeni Za Kupigia Debe Ripoti Ya Marekebisho Ya Katiba BBI Huku Kura Ya Maamuzi Ikitarajiwa Kufanyika Baadaye Mwaka Huu.

Raila Anatarajiwa Kuandaa Mkutano Wa Hadhara Hii Leo Katika Eneo Githurai Kaunti Ya Nairobi,Kabla Ya Kufululiza Hadi Eneo La Mlima Kenya Ambapo Atawahutubia Wananchi Katika Eneo La Kenol Muranga.

Wiziri Mkuu Huyo Wa Zamani Anatarajiwa Kuwa Ni Misururu Ya Mikutano Katika eneo La Mlima Kenya Linalotajwa Kuwa Na Umuhimu Katika Kuunga Au Kuuagusha Ripoti Ya BBI Ikizingatiwa Wingi Wake Wa Kura.

Ziara Ya Raila Inajiri Siku Moja Tu Baada Ya Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini IEBC Kuwasilisha Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba Katika Mabunge Ya Kaunti.

Leave a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe to eNewsletter